Gwappo Mwakatobe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,717
- 2,214
Ni ratiba imebadilika, badala ya kula mchana unakula usiku! Na badala ya kula kidogo au kutokula kabisa wakati wa mfungo, unaishia kula sana! Je, huo sasa ni mwezi wa mfungo au wa mlo?Wakristo wanafunga kama ibada,wengine mnabadili ratiba ya msosi kama kanuni inavyowalazimu mnaita kufunga.
sisi tunafunga kujipa uimara wa kupokea majibu ktk maombi tuliyoomba,na sharti ni kwamba kilichosalia kama mbadala wa sehemu yako kula unatakiwa utoe kama sadaka utakapovuviwa.
Umeshajiuliza kwanini magimbi,maviazi na mihogo hupanda sana bei wakati kimahesabu walaji wamepungua mtaani kipindi cha ramadaaan😁😁😁
Jibu ni moja,wadogo zetu mnakula sana kipindi hiki kuliko wakati wowote🤣🤣🤣
Right kama wakristo kwa aina yao ya mfungo wangekuwa wanafunga siku 40 zote kila mmoja kwa kulazimishwa,nyinyi mchwa kipindi hiki cha kwaresma mngenunua sukari mpaka shilingi 500 kilo,bidhaa za vyakula zingekosa soko kabisa,watu hawali mzee wanafunga kweli kweli sio sarakasi hizo mnapiga.
Pamoja na hayo, ni vema kuheshimu imani ya wengine hata kama hatukubaliani nao. Pengine kila dini au imani ina tafsiri yake ya mfungo.