Kwanini Kwaresma inaonekana haina uzito kuliko Ramadhani?

Kufunga ni lazima kwahiyo waislamu wapo sahihi kiufupi hakuna watu wanaofuata maandiko kuwazidi waislamu,viongozi wa kikristo wanapotosha maandiko kiasi kwamba utakuta wanasigana na maandiko mwisho wa siku uislamu unakuwa kwa kasi
tuliagizwa tusifunge kama mafarisayo ili tuonekana hii ni project flani hivi ya siri , ukifunga unakua low profile utakiwi kujionyesha watu wanafu mpaka mwezi wanakunywa dry wanakula mara moja tu usiku kila baada ya siku tatu tena wanagonga msos mlain kama uji tu juisi na hawasemi hawa utawajua kama ukiwa kwa fast gangs zao wewe unaongelea maandiko gan mdogo wetu
 
Ramadhan inaonekana inauzito kwasababu waislam wako serious na ibada yao, wenye kwaresma nao wameamua kupoteza muda mwingi kuiongelea ramadhan.

Hapa yenyewe haijulikan kwaresma imeshaanza au bado ila ramadhan ikianza hata mtoto wa darasa la kwanza anajua
wakristo hawaruhusiwi kujitangaza ndio ndio tofaut ni kosa kubwa mno ku blow cover
 
Mimi nadhani waislamu muondoe kitu kinaitwa Daku kwa sababu ukila saa 10 alfajiri hiyo siku inakuwa kama umebeba jiwe tumboni wakati kiuhalisia mfungo unatakiwa uendane na njaa.
Mtume (SAW) ambaye ndio Mwalimu Mkuu wa dini hii amesistiza utumiaji wa Maziwa/Maji + Tende kokwaa kadhaa
Mimi nili practice hiyo advice kwa kweli niliifurahia sana kwa sababu ilinifanya niwe mwepesi sana mchana
Vijana wangu 3 ambao walikuwa na kawaida ya kufakamia mavyakula mengi mazito mazito usiku walipojaribu practice yangu mpaka Leo hawajaacha tokea 2008
Hii si dini ya mkumbo na mazoea na mkumbo ni dini ya kanuni na ushahidi
Ukiiangalia chakula TUNACHOKULA na JINSI TUNAVYOKULA kwa kweli ni Kinyume na Mafunzo ya Mtume (SAW)
TUNACHOKULA: Tunakula mafuta, carbohydrates na protein nyingi. Mboga za.majani na matunda Mwezi huu huwa zinapata likizo

TUNAVYOKULA: Mtume (SAW) amesistiza wakati wowote tunapokula tuligawe tumbo ktk sehemu kama ifuatavyo
1/2 Chakula
1/4. Maji
1/4. Hewa => Empty

Waislam wengi hatuzifuati kanuni hizi au hatuzijui au tumeamua kuziweka kando

NB: Tabia za ulafi za baadhi yetu haziifanyi Ramadhan kuwa kama mwezi wa kawaida

Misikiti mingi waumini huwa mara dufu ya miezi mingine

Watu wote wenye Diabetes na High blood pressure baada ya mfungo wakifanya vipimo wanashuhudia a big improvement
 
Kwaresma ni kwa baadhi ya wakristo sio wote, wakristo wa makanisa kibao hawana habari nayo, Ramadhan ni kwa waislam wote.

Ramadhani huwa inapewa uzito hata na serikali, huwa kuna hafla kibao za iftar zinaandaliwa na viongozi wa serikali hata walio wakristo

Ramadhan inakutanisha waislam wengi bila kujali matabaka, hafla za kufungua watakutana pamoja mawaziri, wasanii, watu wenye ulemavu, wagonjwa, n.k.

Ramadhan utawaona waislam wenye uwezo kiuchumi wakigawa vyakula bure watoto wa mitaani, wenye shida, n.k.
Historia tells it all! "Mudi" alikuwa mfanyabiashara maarufu na aliyeheshimiwa na wote akiwa na nembo ya Mtume wa Mungu na hivyo alikuwa ana kauli ya mwisho. Akisema hiki kifanyike hivi na kinafanyika. Unabuni kitu ili ufanye biashara. Kula kwa wingi, kuvaa kwa wingi, kufurahi kwa wingi...all that involves buying and selling!
 
Kwaresma ni kwa baadhi ya wakristo sio wote, wakristo wa makanisa kibao hawana habari nayo, Ramadhan ni kwa waislam wote.

Ramadhani huwa inapewa uzito hata na serikali, huwa kuna hafla kibao za iftar zinaandaliwa na viongozi wa serikali hata walio wakristo

Ramadhan inakutanisha waislam wengi bila kujali matabaka, hafla za kufungua watakutana pamoja mawaziri, wasanii, watu wenye ulemavu, wagonjwa, n.k.

Ramadhan utawaona waislam wenye uwezo kiuchumi wakigawa vyakula bure watoto wa mitaani, wenye shida, n.k.
Swali la kijinga sana, hujui kuwa kwaresma sio sawa na ramadhani hivyo havipaswi kulinganishwa
 
Back
Top Bottom