Kwanini Kwaresma inaonekana haina uzito kuliko Ramadhani?

Wavaa Kobasi na Wagalatia wanapobadili ratiba ya Kula ili Kumdanganya mungu kwa siku 30 kuwa wanataka kuwa binaadamu wema zaidi, kwa zaidi ya miaka 2000 hizo dini zote wamekuwa na kipindi cha siku 30 maalumu kila mwaka kujitafakari mienendo yao lakini hakuna kilichobadilika, total Scam . Sema enzi za boarding kipindi cha mfungo wa waislam ilikua ndio msimu wa kupiga wali mchana na usiku cha msingi uwe marafiki maustadh
 
Wakristo wanafunga kama ibada,wengine mnabadili ratiba ya msosi kama kanuni inavyowalazimu mnaita kufunga.
sisi tunafunga kujipa uimara wa kupokea majibu ktk maombi tuliyoomba,na sharti ni kwamba kilichosalia kama mbadala wa sehemu yako kula unatakiwa utoe kama sadaka utakapovuviwa.

Umeshajiuliza kwanini magimbi,maviazi na mihogo hupanda sana bei wakati kimahesabu walaji wamepungua mtaani kipindi cha ramadaaan

Jibu ni moja,wadogo zetu mnakula sana kipindi hiki kuliko wakati wowote

Right kama wakristo kwa aina yao ya mfungo wangekuwa wanafunga siku 40 zote kila mmoja kwa kulazimishwa,nyinyi mchwa kipindi hiki cha kwaresma mngenunua sukari mpaka shilingi 500 kilo,bidhaa za vyakula zingekosa soko kabisa,watu hawali mzee wanafunga kweli kweli sio sarakasi hizo mnapiga.
Umetumia bunduki kumuua sisimizi
 
Kwaresma ni kwa baadhi ya wakristo sio wote, wakristo wa makanisa kibao hawana habari nayo, Ramadhan ni kwa waislam wote.

Ramadhani huwa inapewa uzito hata na serikali, huwa kuna hafla kibao za iftar zinaandaliwa na viongozi wa serikali hata walio wakristo

Ramadhan inakutanisha waislam wengi bila kujali matabaka, hafla za kufungua watakutana pamoja mawaziri, wasanii, watu wenye ulemavu, wagonjwa, n.k.

Ramadhan utawaona waislam wenye uwezo kiuchumi wakigawa vyakula bure watoto wa mitaani, wenye shida, n.k.
So what?
 
Si vyema kulinganisha vitu visivyolingana!
 
Mt 6:16 SUV​

Tena mfungapo, msiwe kama wanafiki wenye uso wa kukunjamana; maana hujiumbua nyuso zao, ili waonekane na watu kuwa wanafunga. Amin, nawaambia, wamekwisha kupata thawabu yao.
Warabu wanaswali kuliko nyie Waislam wa Bonyokwa! Mnalazimisha kujitoa Sigda ili Watu woote wajue kuwa mu watu wa Sala, Wakati mmejaa unafiki ,Dhuruma na Chuki kwa wengine, mnajiona Bora kuliko wengine, mnatamani Watu woote wafate mnayoyaamini Japo Hamuishi kama Imani yenu inavyowataka.

Mt 6:5-6 SUV​

Tena msalipo, msiwe kama wanafiki; kwa maana wao wapenda kusali hali wamesimama katika masinagogi na katika pembe za njia, ili waonekane na watu. Amin, nawaambia, Wamekwisha kupata thawabu yao. Bali wewe usalipo, ingia katika chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga mlango wako, usali mbele za Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.
 
Yesu alifunga siku 40
Mtoto hutolewa nje siku 40
Musa alipanda mlimani kwa siku40
Waisrael walikaaa nyikani kwa miaka40
Binadamu anapewa pumzi akiwa tumboni baada ya siku40
Marehem hubalika baada ya siku40
Goliati aliwapiga waisrael kwa siku40
Mwizi hukamatwaa siku ya 40.......

Muulizeni mud kwa nin alaishindwa kufunga siku40 kwa tamaaa zake za ulafi na ufuksa akaishia 30 ........
 
Kufunga ni lazima kwahiyo waislamu wapo sahihi kiufupi hakuna watu wanaofuata maandiko kuwazidi waislamu,viongozi wa kikristo wanapotosha maandiko kiasi kwamba utakuta wanasigana na maandiko mwisho wa siku uislamu unakuwa kwa kasi
Dini gani ya kwanza kujua na kuanza kufunga Kati ya hizo mbili ?Wewe wa juzi uijue funga kuliko uliyemkuta anafanya toba ya kufunga?
 
Wakristo wanafunga kama ibada,wengine mnabadili ratiba ya msosi kama kanuni inavyowalazimu mnaita kufunga.
sisi tunafunga kujipa uimara wa kupokea majibu ktk maombi tuliyoomba,na sharti ni kwamba kilichosalia kama mbadala wa sehemu yako kula unatakiwa utoe kama sadaka utakapovuviwa.

Umeshajiuliza kwanini magimbi,maviazi na mihogo hupanda sana bei wakati kimahesabu walaji wamepungua mtaani kipindi cha ramadaaan😁😁😁

Jibu ni moja,wadogo zetu mnakula sana kipindi hiki kuliko wakati wowote🤣🤣🤣

Right kama wakristo kwa aina yao ya mfungo wangekuwa wanafunga siku 40 zote kila mmoja kwa kulazimishwa,nyinyi mchwa kipindi hiki cha kwaresma mngenunua sukari mpaka shilingi 500 kilo,bidhaa za vyakula zingekosa soko kabisa,watu hawali mzee wanafunga kweli kweli sio sarakasi hizo mnapiga.
Waabudu mtu na masanamu kama kawaida umeleta ushuzi wenu
Je ushabarikiwa ewe mkosa rinda?
 
Mifungo yote haina maana yo yote iwe Kwaresma au Ramadhani! Zinafungwa kidini si kwa maana halisi ya kutubu dhambi na Kuacha!
Wakimaliza mifungo wanaendelea na kufanya uovu na dhambi za kila namna!
Machoni pa Mungu, ni kujitesa kwa njaa tu!
Endelea kujifunza.Huna ujualo.
 
Wafuasi wa Brian Deacon au Robert Powell huwa wengi hawafungi wanasingizia kufunga siri. Kufunga itakuwa siri iwapo unajifungia ndani kwako.
 
Back
Top Bottom