Kwa Utajiri wa Stellenbosch(Johann Rupert) , Simba(MO Dewji) ni Timu ya Masikini , Huwezi shindana na Matajiri

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
971
1,593
Nimeamua kuongea ukweli wa wazi wazi, kwanza Mjue kuwa simba ni timu ya mtu tajiri katika nchi masikini, utajiri wa Mmiliki wa Simba MO Dewji bado ni mdogo na hajafikia utajiri mmiliki wa Stellenbosch Ndugu yetu, na rafiki yetu kaburu Johann Rupert.
Utajiri wa Johann Rupert ni $15Bilioni, Huku tajiri wa Simba Mo ana utajiri wa $1.5Bilioni ambao ni mara kumi chini kwa utajiri wa rafiki yetu rupert. Na hata utajiri huo mwingi ni valuation ya mashamba makubwa waliyopewa na serikali. Sasa hapa katika hii mechi mwenye pesa ndo atashinda

Kiuhalisia Steller Ni timu ina nafasi kubwa ya kutinga fainali, kwa kuifunga timu masikini ya Simba. Ambayo rupert atatumia pesa zake kuhakikisha Makolo wanatoka. Pia Simba wameshazika mbuzi zao kwa mkapa hivyo mechi nje ya kwa mkapa wanakuwa hawana nguvu ni kama samson alivyonyolewa na Delila.

Nawaambia Mashabiki na Waganga wa Simba kuwa Mpira ni Pesa na Mpira sio ndumba. Nawatakia mechi mbaya sana Makolo

Pia Natumia Platform hii kumwambia bwana Rupert atutumie pesa angalau mashabiki 10000 wa yanga tuende zanzibar tukaishangilie timu yetu Stellernbosch ::
:: in English I am also using this platform to tell Mr. Rupert a goog friend of us to send us money for at least 10,000 Yanga supporters to go to Zanzibar and cheer for our Stellernbosch team. MAKOLO RUDINI SHULE
 
Kolo la yanga hili,mavi yako
 
Kwani inachezwa ligi gani, ya soka au ya utajiri?
 
Mpira ungekuwa pesa tu New Castle angekuwa bingwa wa Ulaya na Manchester United asingekuwa wa 14.Umevimbiwa mihogo kwa mujibu wa Hersi Saidi.
Ungekuwa ni uchawi wa wazee wafupi na mbuzi aliyehasiwa
 
Nimeamua kuongea ukweli wa wazi wazi, kwanza Mjue kuwa simba ni timu ya mtu tajiri katika nchi masikini, utajiri wa Mmiliki wa Simba MO Dewji bado ni mdogo na hajafikia utajiri mmiliki wa Stellenbosch Ndugu yetu, na rafiki yetu kaburu Johann Rupert.
Utajiri wa Johann Rupert ni $15Bilioni, Huku tajiri wa Simba Mo ana utajiri wa $1.5Bilioni ambao ni mara kumi chini kwa utajiri wa rafiki yetu rupert. Na hata utajiri huo mwingi ni valuation ya mashamba makubwa waliyopewa na serikali. Sasa hapa katika hii mechi mwenye pesa ndo atashinda

Kiuhalisia Steller Ni timu ina nafasi kubwa ya kutinga fainali, kwa kuifunga timu masikini ya Simba. Ambayo rupert atatumia pesa zake kuhakikisha Makolo wanatoka. Pia Simba wameshazika mbuzi zao kwa mkapa hivyo mechi nje ya kwa mkapa wanakuwa hawana nguvu ni kama samson alivyonyolewa na Delila.

Nawaambia Mashabiki na Waganga wa Simba kuwa Mpira ni Pesa na Mpira sio ndumba. Nawatakia mechi mbaya sana Makolo

Pia Natumia Platform hii kumwambia bwana Rupert atutumie pesa angalau mashabiki 10000 wa yanga tuende zanzibar tukaishangilie timu yetu Stellernbosch ::
:: in English I am also using this platform to tell Mr. Rupert a goog friend of us to send us money for at least 10,000 Yanga supporters to go to Zanzibar and cheer for our Stellernbosch team. MAKOLO RUDINI SHULE
Na utajiri wa yule dalali wa kuitwa injinia ni dola ngapi? Kweli huwezi kuwa na mwiko nyuma na ukamiliki akili!
 
utopwinyo level yenu ni wale watoto wa stendi tabora huku kimataifa mwachieni mnyama atambe
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kwamba hela zote huyo Tajiri anamwaga kwa Stellnboch au maana yako ni ipi.

Juzi tu Arsenal kampiga Madrid kipigo kitamuuu
 
Back
Top Bottom