mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 971
- 1,593
Kolo la yanga hili,mavi yakoNimeamua kuongea ukweli wa wazi wazi, kwanza Mjue kuwa simba ni timu ya mtu tajiri katika nchi masikini, utajiri wa Mmiliki wa Simba MO Dewji bado ni mdogo na hajafikia utajiri mmiliki wa Stellenbosch Ndugu yetu, na rafiki yetu kaburu Johann Rupert.
Utajiri wa Johann Rupert ni $15Bilioni, Huku tajiri wa Simba Mo ana utajiri wa $1.5Bilioni ambao ni mara kumi chini kwa utajiri wa rafiki yetu rupert. Na hata utajiri huo mwingi ni valuation ya mashamba makubwa waliyopewa na serikali. Sasa hapa katika hii mechi mwenye pesa ndo atashinda
Kiuhalisia Steller Ni timu ina nafasi kubwa ya kutinga fainali, kwa kuifunga timu masikini ya Simba. Ambayo rupert atatumia pesa zake kuhakikisha Makolo wanatoka. Pia Simba wameshazika mbuzi zao kwa mkapa hivyo mechi nje ya kwa mkapa wanakuwa hawana nguvu ni kama samson alivyonyolewa na Delila.
Nawaambia Mashabiki na Waganga wa Simba kuwa Mpira ni Pesa na Mpira sio ndumba. Nawatakia mechi mbaya sana Makolo
Kwani inachezwa ligi gani, ya soka au ya utajiri?Nimeamua kuongea ukweli wa wazi wazi, kwanza Mjue kuwa simba ni timu ya mtu tajiri katika nchi masikini, utajiri wa Mmiliki wa Simba MO Dewji bado ni mdogo na hajafikia utajiri mmiliki wa Stellenbosch Ndugu yetu, na rafiki yetu kaburu Johann Rupert.
Utajiri wa Johann Rupert ni $15Bilioni, Huku tajiri wa Simba Mo ana utajiri wa $1.5Bilioni ambao ni mara kumi chini kwa utajiri wa rafiki yetu rupert. Na hata utajiri huo mwingi ni valuation ya mashamba makubwa waliyopewa na serikali. Sasa hapa katika hii mechi mwenye pesa ndo atashinda
Kiuhalisia Steller Ni timu ina nafasi kubwa ya kutinga fainali, kwa kuifunga timu masikini ya Simba. Ambayo rupert atatumia pesa zake kuhakikisha Makolo wanatoka. Pia Simba wameshazika mbuzi zao kwa mkapa hivyo mechi nje ya kwa mkapa wanakuwa hawana nguvu ni kama samson alivyonyolewa na Delila.
Nawaambia Mashabiki na Waganga wa Simba kuwa Mpira ni Pesa na Mpira sio ndumba. Nawatakia mechi mbaya sana Makolo
Ungekuwa ni uchawi wa wazee wafupi na mbuzi aliyehasiwaMpira ungekuwa pesa tu New Castle angekuwa bingwa wa Ulaya na Manchester United asingekuwa wa 14.Umevimbiwa mihogo kwa mujibu wa Hersi Saidi.
Na utajiri wa yule dalali wa kuitwa injinia ni dola ngapi? Kweli huwezi kuwa na mwiko nyuma na ukamiliki akili!Nimeamua kuongea ukweli wa wazi wazi, kwanza Mjue kuwa simba ni timu ya mtu tajiri katika nchi masikini, utajiri wa Mmiliki wa Simba MO Dewji bado ni mdogo na hajafikia utajiri mmiliki wa Stellenbosch Ndugu yetu, na rafiki yetu kaburu Johann Rupert.
Utajiri wa Johann Rupert ni $15Bilioni, Huku tajiri wa Simba Mo ana utajiri wa $1.5Bilioni ambao ni mara kumi chini kwa utajiri wa rafiki yetu rupert. Na hata utajiri huo mwingi ni valuation ya mashamba makubwa waliyopewa na serikali. Sasa hapa katika hii mechi mwenye pesa ndo atashinda
Kiuhalisia Steller Ni timu ina nafasi kubwa ya kutinga fainali, kwa kuifunga timu masikini ya Simba. Ambayo rupert atatumia pesa zake kuhakikisha Makolo wanatoka. Pia Simba wameshazika mbuzi zao kwa mkapa hivyo mechi nje ya kwa mkapa wanakuwa hawana nguvu ni kama samson alivyonyolewa na Delila.
Nawaambia Mashabiki na Waganga wa Simba kuwa Mpira ni Pesa na Mpira sio ndumba. Nawatakia mechi mbaya sana Makolo
Pia Natumia Platform hii kumwambia bwana Rupert atutumie pesa angalau mashabiki 10000 wa yanga tuende zanzibar tukaishangilie timu yetu Stellernbosch ::
:: in English I am also using this platform to tell Mr. Rupert a goog friend of us to send us money for at least 10,000 Yanga supporters to go to Zanzibar and cheer for our Stellernbosch team. MAKOLO RUDINI SHULE
utopwinyo level yenu ni wale watoto wa stendi tabora huku kimataifa mwachieni mnyama atambeNimeamua kuongea ukweli wa wazi wazi, kwanza Mjue kuwa simba ni timu ya mtu tajiri katika nchi masikini, utajiri wa Mmiliki wa Simba MO Dewji bado ni mdogo na hajafikia utajiri mmiliki wa Stellenbosch Ndugu yetu, na rafiki yetu kaburu Johann Rupert.
Utajiri wa Johann Rupert ni $15Bilioni, Huku tajiri wa Simba Mo ana utajiri wa $1.5Bilioni ambao ni mara kumi chini kwa utajiri wa rafiki yetu rupert. Na hata utajiri huo mwingi ni valuation ya mashamba makubwa waliyopewa na serikali. Sasa hapa katika hii mechi mwenye pesa ndo atashinda
Kiuhalisia Steller Ni timu ina nafasi kubwa ya kutinga fainali, kwa kuifunga timu masikini ya Simba. Ambayo rupert atatumia pesa zake kuhakikisha Makolo wanatoka. Pia Simba wameshazika mbuzi zao kwa mkapa hivyo mechi nje ya kwa mkapa wanakuwa hawana nguvu ni kama samson alivyonyolewa na Delila.
Nawaambia Mashabiki na Waganga wa Simba kuwa Mpira ni Pesa na Mpira sio ndumba. Nawatakia mechi mbaya sana Makolo
Pia Natumia Platform hii kumwambia bwana Rupert atutumie pesa angalau mashabiki 10000 wa yanga tuende zanzibar tukaishangilie timu yetu Stellernbosch ::
:: in English I am also using this platform to tell Mr. Rupert a goog friend of us to send us money for at least 10,000 Yanga supporters to go to Zanzibar and cheer for our Stellernbosch team. MAKOLO RUDINI SHULE
We ni Kolo auingekuwa zina cheza feza uwanjani ningesema neno