mtayeshelwa
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,170
- 390
Mkuuu nimecheka sana,nakumbuka kijalida cha kubwa jinga Oooo sory kubenea kiliwahi kumsakama Lowassa lakini baada ya kupewa mlungura kilenywea..mpaka sasa hivi kijarida hicho kazi yake ni kumpamba Mh fisadi.Siku hizi ukiwa na hela unanunua waandishi/wahariri ili kupotosha habari.Ila ukweli haupendi kupuuzwa.Tatizo kubwa kuna kundi kubwa la vijana ni rahisi kupotoshwa.