KULIMBIKIZA VYEO: Rais Magufuli ateua mtu mmoja vyeo viwili na mikoa miwili tofauti

Halafu wapinzani wakisema watu wanasema tunamkwamisha Dikteta.....Lissu...... Makosa ya namna hii ipo siku tutapelekwa vitani kwa ' makosa '

Naamini bado wengine watapata uteuzi humu ndani maana kuna makosa ambayo yatafanya nafasi ziwe wazi.

1. *Dk Leonard Masule* huyu aliteuliwa kuwa *DC Ilemela* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Dodoma*

2. *Justin Joseph Monko* huyu aliteuliwa kuwa *DAS MUSOMA* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Liwale*

3. *Haji Yusuph Godigodi* huyu aliteuliwa kuwa *DAS KIGOMA* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Kyerwa*

4. *Joel Mwakibibi* huyu aliteuliwa kuwa *DAS BIHARAMULO* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Kigoma*

5. *Msongwe* huyu aliteuliwa kuwa *DAS MISENYI* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa.

Anaandika ZZK 2016/7/7
 
Hii ina maanisha kuwa weledi haukuzingatiwa bali watu walikuwa wameandaliwa kupata hivyo vyeo no matter what
 
Ndo madhara ya kugawa vyeo kama karanga. Naona ana orodha ya msululu wa majina ya watu wengi anafanya ku toss randomly bin kukurupuka!
 
..mhhh kama mtu kateuliwa mara mbili ajitafakari mara nne nne asijerudishiwa mlangoni huko ikulu ikawa aibu yake
 
KWA NINI IKULU YA SASA INAKURUPUKA SANA?

Tarehe 01/07/2016 waliteuliwa makatibu tawala wa wilaya. Katika wilaya ya Ikungi aliteuliwa Flora Rajab Yongolo.

Leo 07/07/2016 wameteuliwa wakurugenzi wa majiji, manispaa, miji na wilaya. Katika wilaya ya Musoma ameteuliwa Flora Rajab Yongolo.

Tunajua mtu mmoja hawezi kutumikia ukatibu tawala wa wilaya na ukurugenzi kwa wakati mmoja.

Kwahiyo Tutarajie mtu kufukuzwa katika ukumbi wa kuapishwa? Mamlaka za uteuzi pamoja na washauri zinapaswa kuwa serious kidogo kuepusha fedheha.

Makosa mengine makubwa haya hapa;
1. *Dk Leonard Masule* huyu aliteuliwa kuwa *DC Ilemela* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Dodoma*

2. *Justin Joseph Monko* huyu aliteuliwa kuwa *DAS MUSOMA* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Liwale*

3. *Haji Yusuph Godigodi* huyu aliteuliwa kuwa *DAS KIGOMA* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Kyerwa*

4. *Joel Mwakibibi* huyu aliteuliwa kuwa *DAS BIHARAMULO* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Kigoma*

5. *Msongwe* huyu aliteuliwa kuwa *DAS MISENYI* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Kasulu*

NOTE; Pia, huyu mkurugenzi mteuliwa Dodoma DC uteuzi wake umetenguliwa hivi punde. Duh. ‪#‎The_Government_Of_Confusion_and_Frustration‬.

Nchi ya mwendokasi.

Mtatiro J
 
Sera uchwara za kukurupuka, Phd ......... matokeo yake utendaji ni SIFURI na huo ni mwanzo tu, HAPA MAJANGA TU!

Back
Top Bottom