Kwani unaposema wasaidizi wake wamekosea na watumbuliwe manake nini?Who said it was due to typing error?
Hana wasidizi na HashauirikiNimkubushe tena. Hao wasaidizi wake hawamsaidii. Au hana wasaidizi kabisa. Kama hawapo awatafute na kama wapo awatimue kwa kukosa umakini.
Lakini hapana, huu ni uteuzi wa mwendokasi.