KULIMBIKIZA VYEO: Rais Magufuli ateua mtu mmoja vyeo viwili na mikoa miwili tofauti

BY Zitto
Halafu wapinzani tukisema watu wanasema tunamkwamisha Dikteta.....Lissu...... Makosa ya namna hii ipo siku tutapelekwa vitani kwa ' makosa '

Naamini bado wengine watapata uteuzi humu ndani maana kuna makosa ambayo yatafanya nafasi ziwe wazi.

1. *Dk Leonard Masule* huyu aliteuliwa kuwa *DC Ilemela* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Dodoma*

2. *Justin Joseph Monko* huyu aliteuliwa kuwa *DAS MUSOMA* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Liwale*

3. *Haji Yusuph Godigodi* huyu aliteuliwa kuwa *DAS KIGOMA* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Kyerwa*

4. *Joel Mwakibibi* huyu aliteuliwa kuwa *DAS BIHARAMULO* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Kigoma*

5. *Msongwe* huyu aliteuliwa kuwa *DAS MISENYI* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Kasulu*
 
Rais alisema haezi mrundikia mtu mmoja mivyeo lakini kwa huyu naona kabahatika au wenye weledi ccm wameisha, anaitwa samwel warioba gunzar kwa ukurugenz kapewa lindi DC na kwa uDAS kile cheo cha akina Mtela Mwampamba kapewa wilaya huko manyara kweli Zilongwa mbali, Zitendwa mbali

View attachment 363878
View attachment 363879
tatizo wanawajaza CCM kwe uDAS nafas ambazo c za kisiasa,wanalzimisha kuwaweka CCM ndo maana wanakosea wanarudiarudia
 
Unajua kwa spidi tunayoenda nayo sometimes tunajikuta tumepitiliza vituo sometimes tunaamua kukatisha ruti!!
Kama hajaapishwa bado basi namshauri asiende kwenye hafla ya kuapishwa!yasije yakamkuta yaliyomkuta yule mwenzie aliyetolewa ukumbini kama kibaka.
Ni kwanini mnakimbia kiasi hiki?? mnapitiliza hadi vituo si mtaua watu??
 
Rais alisema haezi mrundikia mtu mmoja mivyeo lakini kwa huyu naona kabahatika au wenye weledi ccm wameisha, anaitwa samwel warioba gunzar kwa ukurugenz kapewa lindi DC na kwa uDAS kile cheo cha akina Mtela Mwampamba kapewa wilaya huko manyara kweli Zilongwa mbali, Zitendwa mbali

View attachment 363878
View attachment 363879
uploadfromtaptalk1467896049381.jpg
 
Nimkubushe tena. Hao wasaidizi wake hawamsaidii. Au hana wasaidizi kabisa. Kama hawapo awatafute na kama wapo awatimue kwa kukosa umakini.
Lakini hapana, huu ni uteuzi wa mwendokasi.
 
Nimkubushe tena. Hao wasaidizi wake hawamsaidii. Au hana wasaidizi kabisa. Kama hawapo awatafute na kama wapo awatimue kwa kukosa umakini.
Lakini hapana, huu ni uteuzi wa mwendokasi.
uploadfromtaptalk1467896471263.jpg
 
Back
Top Bottom