KIXI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 1,922
- 2,438
Simba ina mashabiki mbumbumbuViongozi wa hii taasisi wameanzisha kampeni ya utapeli ambayo sisi kama raia wema tunaomba serikali yetu tukufu iingilie kati sababu raia masikini wanakamuliwa bila kujitambua yaani wanampa tajiri pesa bila Kokomo unaambiwa wanachangisha milion 100 ila je inayozidi inaenda wapi kama sio Kwa matapeli ambao ni Ahmed ally na kina mangungu wajinga ndio waliwao huku mtaani Kuna jamaa kachangia elfu 30 halafu kumbe hata familia yake hajaiachia pesa ya kula mkewe anakuja kutuomba tumkopeshe mmewe hela ndio tumeshangaa wakati jamaa kachangia elfu 30 Leo asubuhi hii akili Gani