Kisa cha binti aliyejitupa baharini

1.Upole na unynyekevu wa watoto wakiwa manyumbani huwapumbaza wazazi kuwa watoto hao hali wanaojionyesha nyumbani ndio walivyo kumbe wanajua mambo meeengi kuwazidi hata wazazi.

2.Hata kama mtoto utamfungia ndani peke yake kuna vitu atavijua tuu sembuse kwenda shule na kuchanganyana na watoto wenye level mbali mbali za maadili?

3. Kuna baadhi ya watoto huwa wanazinduka vibaya, katika kipindi hicho huwa hawapendi kuambiwa chochote na mtu yoyote tofauti na yule anayemuamini. Hapa ni kuomba Mungu tuu maana si kulogwa wala jini

4. Kuna baadhi ya vitu hata kama ni tajiri vipi, na uzio na mbwa wakali kila kitu kinapatikana ndani, mwanao atatoroka tuu, kwenda kwa maskini wa kutupwa na kuacha vyoote vizuri nyumbani
 
Nilishakapata kabinti flan FB ka frm4 kutoka tanga na kalikuja geto kama wife,so hawa mateenagers huwa wanafaidiwa sana maana hukabizi moyo kirahisi Sana'
 
Najiuliza aliwezaje kuelea juu ya maji sijaweza kupata jibu?
 
Back
Top Bottom