Kisa cha binti aliyejitupa baharini

Daaaah ni noma sana. Huyo dogo tatizo ni umri ndo maana anajikuta anafanya ujinga kama huo.
 
Mleta mada, wewe una huruma sana hadi kuhifadhi jina la manusura kulingana na umri wake ilhali hata picha za kabla ya tukio watu wanazo!!!!!!!!!
 
Kuna visichana miaka 14, 15 na 16 hapa Denmark tena wakristo wadeni vimepigwa saundi na vijana wa ISIS huko Syria kwenye Fcabook had vimetiroka viko raqqah kama jihadi bride. Mwengine kutoka Sweden 16 yrs naye kalipigwa saundi kwenye FB kakayoroka na kusnik Syria ila kalitoroka nakuokolewa na pesharmega ila pumbuh za kutosha alishapigwa. Hakuna watu hatari duniani kama vijana wa ISIS Kwa kudanganya visichana kwenye FB
 
Maelezo hayajitoshelez
Vipi kuhusu nauli ya kurud znz nani alimfadhili? Wa facebuka au taxi? Alipataje ujasiri wa kupanda boti mwenyew kurud kule kule alikokimbia, je, aliambatana na nani? Malizia majibu ya haya maswali kwanza halafu tulete mengine.
 
image.jpeg
Bado nna mashaka na izi taarifa mkuu tunaweza ona picha ake ili tutathmin ukwel
 
Maelezo hayajitoshelez
Vipi kuhusu nauli ya kurud znz nani alimfadhili? Wa facebuka au taxi? Alipataje ujasiri wa kupanda boti mwenyew kurud kule kule alikokimbia, je, aliambatana na nani? Malizia majibu ya haya maswali kwanza halafu tulete mengine.
Mjombaake alienda kumchukua na kurudi nae
 
hapo ndipo ujue kifo ni mpaka siku ifikeke
yaan alipokuwa anaokolewa nilikumbuka mwaka 2005 ilipozama boti ya kwenda mafia ikitokea rufiji.
jaman watu wawili tuu waliweza kuokoa boti zima. watu zaidi ya 45.

ndipo ujue njia za MUNGU hazichunguziki
 
Back
Top Bottom