Ombudsman
JF-Expert Member
- Apr 18, 2012
- 3,565
- 3,730
Aisee,dereva tax aliokota dodo chini ya mpapai.
Kwa huku Zenji ni nadra sana kumkuta mtu kutojua kuelea, maana vijana wengi kila weekend hutoka day out, so ni vigumu kijana kutokua na idea ya kuogelea
Aleesha....Dah!Kwa huku Zenji ni nadra sana kumkuta mtu kutojua kuelea, maana vijana wengi kila weekend hutoka day out, so ni vigumu kijana kutokua na idea ya kuogelea