Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,479
- 24,348
MGANGA WAKE MKALI SANA./
Ahsante sana, na ndicho nilichokisema, Mfundishe danya maana naona ana ushabiki kuliko kuelewa...Psqure waliimba na rick Ross kwa sharti ispigwe marekani hahahahah yaaani alietusua ni mmoja tu wizkid Basi alioshirikishwa na Drake pini lao one dance basi
you never know naye atapata exposure kiasi gani uko marekani as a result of such collabo...haya mambo bwn huwa yanaendana na mipango ya Mungu pia.Ahsante sana, na ndicho nilichokisema, Mfundishe danya maana naona ana ushabiki kuliko kuelewa...
Yani tatizo vijana hawa hawaelewi hebu watonyee, maana kutokuelewa vitu ndiyo yanapelekea haya... Kule Marekani kuna underground wengi sana ambao ni wakali kufa lakini ni ngumu kwao nyimbo yao kuchezwa na wanatafuta airtime atleast nyimbo ichezwe bado hawapati na wana hustle sana, mfano mzuri ni 50 cent mpaka ametoka kimuziki ametumia jitihada nyingi sana angalia documentary yake 50 centnyimbo yenyewe mbovu dah mnatoaga sifa za bure mmarekani awez kupiga hyo k2 wakati wasanii wao wapo tena wanawajali kuliko hapa bongo
Kama nimekusoma vile...!!!. Ni sawasawa na msanii 'X' pale Nanjilinji afanye colabo na Dudubaya halafu utuambie msanii 'X' atakimbiza mbaya Daresalama mjini. Si ndo akakurupuka, eti picha ya jamaa i-replace askari monument pale kati ya mji!!!!. Inawezekana lakini!!.Neyo mwenyewe kashafulia sasa hiyo nyimbo itapigwaje huko kwenye viunga vya Marekani?
Kwa maelezo hayo kama bado hawajaelewa wakapmweYani tatizo vijana hawa hawaelewi hebu watonyee, maana kutokuelewa vitu ndiyo yanapelekea haya... Kule Marekani kuna underground wengi sana ambao ni wakali kufa lakini ni ngumu kwao nyimbo yao kuchezwa na wanatafuta airtime atleast nyimbo ichezwe bado hawapati na wana hustle sana, mfano mzuri ni 50 cent mpaka ametoka kimuziki ametumia jitihada nyingi sana angalia documentary yake 50 cent
Labla huko Marekani mashambani vijijini kama ilivyo kwa Tanzania tandahimba ndani ndani huko! Ndiyo watakao pinga lablaNeyo mwenyewe kashafulia sasa hiyo nyimbo itapigwaje huko kwenye viunga vya Marekani?
Kwenye internet unaipata hata uingereza kwa iyo itagongwa na soud brownLabda kama clouds inashika hadi marekani ndo itasikika hiyo nyimbo
nyimbo yenyewe mbovu dah mnatoaga sifa za bure mmarekani awez kupiga hyo k2 wakati wasanii wao wapo tena wanawajali kuliko hapa bongo
Sijawahi kuona nyimbo mbaya kama ile
Wamarekani wataipiga sana hiyo ngoma kwenye redio zao?
Wamarekani unawajua unawasikia...?
Kwa nchi za wenzetu kama Marekani wana taratibu na sheria za kupiga mziki wa kushirikiana na asiye mmarekani.Kwa waliona jana Show ya Mwanza ya Neyo na Diamond watakuwa walisikia ule wimbo mpya wa Diamond aliomshirikisha Neyo, bila unafiki ile nyimbo ni kali na am sure wamarekani wataipiga sana ile nyimbo kwenye Stations zao kwani Neyo kaimba kwa hisia sipati picha video itakuwaje lakini kwa nyimbo ile shikamoo Diamond.
Mkuu hata ile mabata madogomadogo yanaogelea imepitwaSijawahi kuona nyimbo mbaya kama ile
Kwa net mbona unaisikiliza mkuuLabda kama clouds inashika hadi marekani ndo itasikika hiyo nyimbo