mzurimie JF-Expert Member Oct 16, 2011 6,143 3,625 May 24, 2016 #121 Wapige wasipige sijui wapi na wapi, kama wewe umeusikiliza basi na wengine wengi nao wameusikiliza na wanazidi kuusikiliza... Muhimu kuingiza minoti tuuuuuuuu
Wapige wasipige sijui wapi na wapi, kama wewe umeusikiliza basi na wengine wengi nao wameusikiliza na wanazidi kuusikiliza... Muhimu kuingiza minoti tuuuuuuuu
SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member Aug 25, 2010 9,539 5,919 May 25, 2016 #122 Nyani Ngabu said: Not V103.....not HOT107.9 ....not STREETZ 96....not 102.5....and not even KISS 104.1 Labda Country radio stations.....of which I seriously doubt. Click to expand... Ile Radio Mbao Ya kule Ohio pia? Magic ATL 107.5???
Nyani Ngabu said: Not V103.....not HOT107.9 ....not STREETZ 96....not 102.5....and not even KISS 104.1 Labda Country radio stations.....of which I seriously doubt. Click to expand... Ile Radio Mbao Ya kule Ohio pia? Magic ATL 107.5???
mwanaMtata JF-Expert Member Oct 18, 2014 2,393 1,433 May 26, 2016 #123 fredericko said: Sijawahi kuona nyimbo mbaya kama ile Click to expand... Mkuu kama unaona nyimbo basi unaskia video. Inaonekana una "stress " sana na haya maisha. Kubali matokeo mkuu ndo ivo yashakua magumu.
fredericko said: Sijawahi kuona nyimbo mbaya kama ile Click to expand... Mkuu kama unaona nyimbo basi unaskia video. Inaonekana una "stress " sana na haya maisha. Kubali matokeo mkuu ndo ivo yashakua magumu.