Live coverage on JamiiForums
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Nov 17, 2023
2,057
5,452
Wakuu,

Leo ndio ile siku inasubiriwa kuona nini kitatokea baada ya Lissu kusomewa mashtaka yake manne ikiwemo kosa la Uhaini ambalo halina dhamana na kesi hiyo kusogezwa mpaka leo Aprili 24, 2025.

Pia soma: Pre GE2025 - DSM - Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025

Viongozi mbalimbali walilaani kukamatwa kwake pamoja na kupewa kesi hiyo wakiitaka serikali imuachie mara moja huku polisi na viongozi wengine serikalini wakizua wananchi kwenda kusikiliza kesi pamoja na kuwaacha kujiingiza kwenye vitendo 'vinavyochochea uvunjifu wa amani'.

Leo tayari polisi wametanda huku huku, wanasubiri kudaka 'wavunjifu wa amani' lakini kwenye maandamano ya mama mambo huwa shwari kabisa🤣🤣

Nini kitatokea.... updates zitakuja kadri zitakavyoingia

======

Updates

Polisi watanda barabarani wakinyoosha misuli kusibiri watazamani kesi wa ya Lissu wawashughulikie :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: ujinga ule wamekuwa wakifanya wanaenda kuurudia tena
- Pre GE2025 - DSM - Polisi watanda Dar es Salaam kuzuia CHADEMA kwenye kesi ya Lissu

===
Wenye picha za matukio mtaani polisi wakiwa wanaandamana huko kunyoosha misuli mzilete Wakuu:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:
 
Wakuu,

Leo ndio ile siku inasubiriwa kuona nini kitatokea baada ya Lissu kusomewa mashtaka yake manne ikiwemo kosa la Uhaini ambalo halina dhamana na kesi hiyo kusogezwa mpaka leo Aprili 24, 2025.

Pia soma: Pre GE2025 - DSM - Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025

Viongozi mbalimbali walilaani kukamatwa kwake pamoja na kupewa kesi hiyo wakiitaka serikali imuachie mara moja huku polisi na viongozi wengine serikalini wakizua wananchi kwenda kusikiliza kesi pamoja na kuwaacha kujiingiza kwenye vitendo 'vinavyochochea uvunjifu wa amani'.

Leo tayari polisi wametanda huku huku, wanasubiri kudaka 'wavunjifu wa amani' lakini kwenye maandamano ya mama mambo huwa shwari kabisa

Nini kitatokea.... updates zitakuja kadri zitakavyoingia

======

Updates
- Pre GE2025 - DSM - Polisi watanda Dar es Salaam kuzuia CHADEMA kwenye kesi ya Lissu
Sio kwa uoga huo hawatamleta lazima kisingizio kisafutwe tena kitakua kiaajabu hakina logic hawawezi kupambana na ummah.
 
Wakuu,

Leo ndio ile siku inasubiriwa kuona nini kitatokea baada ya Lissu kusomewa mashtaka yake manne ikiwemo kosa la Uhaini ambalo halina dhamana na kesi hiyo kusogezwa mpaka leo Aprili 24, 2025.

Pia soma: Pre GE2025 - DSM - Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025

Viongozi mbalimbali walilaani kukamatwa kwake pamoja na kupewa kesi hiyo wakiitaka serikali imuachie mara moja huku polisi na viongozi wengine serikalini wakizua wananchi kwenda kusikiliza kesi pamoja na kuwaacha kujiingiza kwenye vitendo 'vinavyochochea uvunjifu wa amani'.

Leo tayari polisi wametanda huku huku, wanasubiri kudaka 'wavunjifu wa amani' lakini kwenye maandamano ya mama mambo huwa shwari kabisa🤣🤣

Nini kitatokea.... updates zitakuja kadri zitakavyoingia

======

Updates
- Pre GE2025 - DSM - Polisi watanda Dar es Salaam kuzuia CHADEMA kwenye kesi ya Lissu
Asante mkuu tupe taarifa kitakachojiri
 
Tangu lini kwenda Mahakamani kuhudhuria kesi ikawa ni uvunjifu wa amani?
 
Chadema wanashindwa na akina mama?
 
Attachments

  • DSC_8335.JPG
    DSC_8335.JPG
    118.2 KB · Views: 1
Back
Top Bottom