Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 2,057
- 5,452
Wakuu,
Leo ndio ile siku inasubiriwa kuona nini kitatokea baada ya Lissu kusomewa mashtaka yake manne ikiwemo kosa la Uhaini ambalo halina dhamana na kesi hiyo kusogezwa mpaka leo Aprili 24, 2025.
Pia soma: Pre GE2025 - DSM - Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025
Viongozi mbalimbali walilaani kukamatwa kwake pamoja na kupewa kesi hiyo wakiitaka serikali imuachie mara moja huku polisi na viongozi wengine serikalini wakizua wananchi kwenda kusikiliza kesi pamoja na kuwaacha kujiingiza kwenye vitendo 'vinavyochochea uvunjifu wa amani'.
Leo tayari polisi wametanda huku huku, wanasubiri kudaka 'wavunjifu wa amani' lakini kwenye maandamano ya mama mambo huwa shwari kabisa🤣🤣
Nini kitatokea.... updates zitakuja kadri zitakavyoingia
======
Updates
Polisi watanda barabarani wakinyoosha misuli kusibiri watazamani kesi wa ya Lissu wawashughulikie
ujinga ule wamekuwa wakifanya wanaenda kuurudia tena
- Pre GE2025 - DSM - Polisi watanda Dar es Salaam kuzuia CHADEMA kwenye kesi ya Lissu
===
Wenye picha za matukio mtaani polisi wakiwa wanaandamana huko kunyoosha misuli mzilete Wakuu