Amante
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 232
- 220
Piga shoka,piga jembe, kata mizizi, chimba kwa hatua wapi nimependa usimuliaji wako
Jamaa ni story teller mzuri sana. Explaining real life experience in form of storytelling, sio kila mtu ana huu ujuzi.