Kazi nilizowahi zifanya na zikanishinda kwenye utafutaji

Kimsingi tutafuteni helaaaa....kubeba ndoo tatu za lita 20 za nyanya ...kichwani sio jambo dogooo.....ndoo zote zimewekwa kwenye kreti.....ila Kuna wanna wanakung'uta sio maelezooo na uelezi kituuu juu yaooo
 
Napaelewa huko miaka ya nyuma tunatoka Moshi mjini mpaka geti fonga Kwa mguu kwenda shamba aah
Sana mzee natoka Rau KKkt usiku saa 9 natembea kwa mguu mpaka geti fonga nafika saa 11 tena hapo njianiiii ni balaaaa mbwaa wanakubwekeaa. Utadhani. Wewe ni mwizii ila for safe ukipita barabara kuu inakuwa safe kidogoo
 
Hakuna kaz nilikua naichukua na niasema sidhan kama nitaweza na sidhan kama itatokea nije kufanya. KUUZA VITU VYA PROMOSHENI MTAANI 😂😂😂.
kwakifupi biashara za kutembeza, umachinga.mimi kuongea ongea nimekua sipendi kabisaaa maisha yangu yoote;

Ila sasa, ninachokifanya leo wala hakina tofauti.😂😂😂. Umachinga uliochangamka, ukinikuta na lasket yangu mgongoni ,ndani laptop napita mtaa kwa mtaa kuuza maneno.

Naipenda balaa siku hizi.
Eyce .
 
Mimi nishawahi kutwa na msala wa gerezani wa kazi flani Ngumu sana kuifanya,nikaona huu ushenzi

hiii kazi nisipoangalia ntaja fia hapa hapa,nikaangalia huku na kule kisha nikajidondosha chini puuuu

nikaanza kurusha miguuu kama nina dege dege,huku natoa mapovu( hapo nishakusanya mate kibaooo)

nikawa nayatema kwa pembeni kidogo kidogo,nikaskia wana wanasema Oyaa huyu atakua ana dege dege

askari akaitwa akaja akasema mbebeni muwekeni pale kivulini,nilipopelekwa kivulini nikasema hapa nikitulia

tuu ntalishwa rungu kwa sana watanishtukia, basi nikazidisha drama nikajirusha kama jongooo nakwambia

askari akaona huu msala atatufia huyu,nikabebwa ikaitwa TAX dakwa speed hadi gerezani,kufika gerezani nikajifanya

napumua haaaaaa huku nakoromaa,ndio ikawa pona yangu ila bila ile tekniki Ningefia pale walahi vile...
Nimecheka sana

Sent from my SM-N980F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kaz nilikua naichukua na niasema sidhan kama nitaweza na sidhan kama itatokea nije kufanya. KUUZA VITU VYA PROMOSHENI MTAANI 😂😂😂.
kwakifupi biashara za kutembeza, umachinga.mimi kuongea ongea nimekua sipendi kabisaaa maisha yangu yoote;

Ila sasa, ninachokifanya leo wala hakina tofauti.😂😂😂. Umachinga uliochangamka, ukinikuta na lasket yangu mgongoni ,ndani laptop napita mtaa kwa mtaa kuuza maneno.

Naipenda balaa siku hizi.
Eyce .
Hiyo kazi siipendi walahi 😁😁😁

Nimeifanya kupatia pesa lakini pia imenifunza vingi ila kwa sasa, labda nihangaikie kitu changu mwenyewe
 
kuna miti unachimba kisiki,inafika muda unaacha kuchimba unabonyeza ule mti ni Mti au Jiwe

maana kila unavyoonyesha juhudi kisiki kimekaa tu kinakuangalia yani kama unakitekenya hiviii
Hahahaha.. ñimecheka sanaa hii 🤗 ..... mkuu nìlichojifunza kila mtu ana gumu lake alopitia japo hatufanani..
 
Mimi nishawahi kutwa na msala wa gerezani wa kazi flani Ngumu sana kuifanya,nikaona huu ushenzi

hiii kazi nisipoangalia ntaja fia hapa hapa,nikaangalia huku na kule kisha nikajidondosha chini puuuu

nikaanza kurusha miguuu kama nina dege dege,huku natoa mapovu( hapo nishakusanya mate kibaooo)

nikawa nayatema kwa pembeni kidogo kidogo,nikaskia wana wanasema Oyaa huyu atakua ana dege dege

askari akaitwa akaja akasema mbebeni muwekeni pale kivulini,nilipopelekwa kivulini nikasema hapa nikitulia

tuu ntalishwa rungu kwa sana watanishtukia, basi nikazidisha drama nikajirusha kama jongooo nakwambia

askari akaona huu msala atatufia huyu,nikabebwa ikaitwa TAX dakwa speed hadi gerezani,kufika gerezani nikajifanya

napumua haaaaaa huku nakoromaa,ndio ikawa pona yangu ila bila ile tekniki Ningefia pale walahi vile...
Hahaha..Hii mbinu inakipaji ndani yake.. mkuu ilikua kazigani hiyo? 😄
 
Back
Top Bottom