Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnasema sana

sijaona tatizo hapo, kwanza binafsi ningependekeza waende mbali zaidi ya hapo na kushawishi Wakristo wote kupigia kura Kiongozi Mkristo tu, haingii akilini kama wewe ni Mkristo halafu unapigia kura ambaye siye Mkristo, nani atapigania maslahi yako? …
 
Wanaukumbi.

Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.

Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.

Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .

Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.

Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Wakati mwingine makobazi tunajianika sana vichwani mwetu, basi tuu.
 
Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.

Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.

Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .

Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.

Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Wewe ndugu yangu tumehangaika na wewe tangu enzi ziiee, miaka zaidi ya 10 lakini akili yako inazidi kudumaa. Unajua haki ya wapalestina tu. Unataka na sisi tuanze kuanzisha threads nyingi zinazsema vitu kama hivi; je waislam huwa wanatetea udhalumu kama udhalimu huo unafanywa na rais mwislam?
 
Hawa wanataka kuacha maumivu kama walivyoyacha huko RWANDA KWENYE MAUAJI YA KIKABILA, DRC, SUDAN KUSINI.. HAIT..nk na hzo ambazo waliingza mkono hazna amani wala haki..

wakati huyu K anaropoka kuhusu uasi kila mvaa stola alikimya, hvo wanataka uasi..WAPATANISHI GANI HAWA?

NMEMKUMBUKA MAGUFULI KWA NINI ALIWEKA USHURU KWA MALI ZOTE ZA KANISA ZINAZOINGIA NCHINI. na tatzo kubwa tuna viongozi wa dini na si VIONGOZI WA KIROHO.

MBONA HAWAENDI KUWATETEA WAKRISTO WENZETU WANAO ULIWA KULE SYRIA? AU WANAPINDISHA MIWANI HAPA KAMA MAROBOTI KWA SABABU WANAMUONA RAIS NI MUISLAM?

" SDA " MUNGU WETU WA MBINGUNI AWABARIKI SANA, SASA NDO NAJUA KUMBE ILITAKIWA NIJIUNGE NA SDA NA NIBATIZWE SDA KULIKO HZ DHEHEBU ZA KANJANJA ZA WAZOA SADAKA.
 
Wanaukumbi.

Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.

Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.

Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .

Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.

Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.

JPM alipokuwa anaambiwa alikuwa ameslimu?
Kwahiyo nchi ni mali ya viongozi tu na wana imla ya kuamua chochote?
Ila nyinyi wanafiki sana. Ndio maana hamna la maana linaloendelea.
Mnaogopa sana kuambiwa ukweli. Mnaogopa sana ukweli. Na ukweli ni kuwa kuna mambo yanafanyika as if nchi ni mali ya mtu binafsi
 
Hoja ya kijinga, kutoka kwa mtu mjinga. Wakati Magufuli anaonywa kupitia matamko ya aina hii hii ulikuwa hujazaliwa, au ndiyo ulikuwa unanyonya? Au na yeye alikuwa ni wa dini yenu?

Badala ya kujibu hoja, mnakimbilia kwenye kichaka cha dini. Au mnafikiri wananchi ni wajinga kiasi cha kushindwa kuona upumbavu wenu mnao ufanya wakati wa uchaguzi?

Hovyo kabisa wewe.
Taahira hilo mkuu usijipe stress kujibizana nalo,lina kansa ya udini
 
Hawa wanataka kuacha maumivu kama walivyoyacha huko RWANDA KWENYE MAUAJI YA KIKABILA, DRC, SUDAN KUSINI.. HAIT..nk na hzo ambazo waliingza mkono hazna amani wala haki..

wakati huyu K anaropoka kuhusu uasi kila mvaa stola alikimya, hvo wanataka uasi..WAPATANISHI GANI HAWA?

NMEMKUMBUKA MAGUFULI KWA NINI ALIWEKA USHURU KWA MALI ZOTE ZA KANISA ZINAZOINGIA NCHINI. na tatzo kubwa tuna viongozi wa dini na si VIONGOZI WA KIROHO.

MBONA HAWAENDI KUWATETEA WAKRISTO WENZETU WANAO ULIWA KULE SYRIA? AU WANAPINDISHA MIWANI HAPA KAMA MAROBOTI KWA SABABU WANAMUONA RAIS NI MUISLAM?

" SDA " MUNGU WETU WA MBINGUNI AWABARIKI SANA, SASA NDO NAJUA KUMBE ILITAKIWA NIJIUNGE NA SDA NA NIBATIZWE SDA KULIKO HZ DHEHEBU ZA KANJANJA ZA WAZOA SADAKA.

Hoja ya Rwanda ni muflisi. Na wanaoitumia wanakariri mambo. Hawajui wanalosema
Rwanda waliuana sababu ya ukabila. Ila wanywa kahawa wa Tanzania wanasema udini.
Jamani tusome na tuelimike....kusoma kupata vyeti, tumejaza wajinga kila sehemu
 
sijaona tatizo hapo, kwanza binafsi ningependekeza waende mbali zaidi ya hapo na kushawishi Wakristo wote kupigia kura Kiongozi Mkristo tu, haingii akilini kama wewe ni Mkristo halafu unapigia kura ambaye siye Mkristo, nani atapigania maslahi yako? …
NA MKRISTO MWENYEWE NI HUYU K ROPO ROPO, BAS NA SISI WAKRITO TUTAKUWA HAWAYANI KAMA WAVAA STOLA WETU.
 
Huo ni uwongo, Policap Pengo alikuwa anatuambia Magufuli alikuwa chaguo la Mungu. Wakatoliki ni wanafiki, wabaguzi na wabinafsi wa hali ya juu
TEC inaweza kumpinga hata Askofu mkuu. Usifanye hatuna kumbukumbu Waraka wa TEC ulipoenda tofauti na alichosema Pengo. Wote tunakumbuka.
 
Hoja ya Rwanda ni muflisi. Na wanaoitumia wanakariri mambo. Hawajui wanalosema
Rwanda waliuana sababu ya ukabila. Ila wanywa kahawa wa Tanzania wanasema udini.
Jamani tusome na tuelimike....kusoma kupata vyeti, tumejaza wajinga kila sehemu
Ulifuatilia vzr hyo kesi? Unamfahamu yule jaji mjeruman aliyekuwa sehemu za kusikilza kesi mwenye jina la mwanzo kama la yule msoma waraka alivyoimbua katoliki kwenye kesi? Unamkumbuka yule padri aliyetengenezewa paspoti kwa majina bandia akatoroshwa{alikuwa na kesi kuuwa kwa kutumia bunduk et ametumwa na papa}

WE NDO USHAURIWE USIISHIE KWENYE MOVIE, NENDA RWANDA SI MBALI UTAFUTE UKWEL HALAFU UJE HAPA TENA KUSHAURI KUSOMA NA KUELIMIKA.

usisababishe JF wote waonekana vilaza aisee.
 
Ameua kwa utashi wake na hakutumwa na kanisa
Hao mapadre ni binadamu kama wewe acha upotoshaji
 
Wanaukumbi.

Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.

Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.

Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .

Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.

Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.

Propaganda Ucharwa hizo. Ritz tunakujua Rais asipokuwa Mwislamu hata jukwaani Unahama. Umerudi tu baada ya Magufuli kufa.
 
Wanaukumbi.

Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.

Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.

Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .

Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.

Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Big no, kipindi Cha Magufuli ilikuwaje? Magu sio mkatoliki?
Waraka haukutolewa au unajizima data?
Wakatiliki hawaangalii mtu wanaongea ukweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom