Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnasema sana

Mfano askofu gani na waraka gani waliutoa?

Uhamiaji: Tunaendelea kuchunguza uraia wa Askofu Niwemugiz​

Ijumaa, Oktoba 19, 2018 — updated on Februari 25, 2021
askofu-pic.jpg
 
Kumshikilia mh lissu na kumpa kesi ya mchongo ya uhaini kumeivuruga serikali ya ccm kuliko walivyofikiria .

Alieshauri hili ni muahini no moja wa nchi na Serikali ya ccm .

Mliona kipindi cha Mbowe alafu kosa lile linajirudia.

Hii ndo akili ya mzee Wasira,Makala kwa ccm ,ona sasa no reform no Election inavyotembea kwa kasi ya kimbunga.

Rc vs KKKT wakisha wakisha sema hii hapana unachomekea wapi.

Ccm msijidanganye no reform no election.

Mtafurukuta ila hamfiki popote, mlitakiwa hii kitu kuikubali mapema kwa kuitisha mjadala wa kitaifa kabla ya kuwa agenda kuu ya watanzania kuitaka wenyewe.
Mungu wabariki Mababa Askofu wote katika hili la haki ,
 
Tuwe makini sana na CCM.

Kinachofanyika sasa ni kibaya kuliko tunavyofikiria.

Tuanze kukosoana kwa kuangalia maslahi ya Taifa na sio kuangalia anayekosoa ni nani na anayekosolewa ni nani.

Tujikite kuangalia kinachokosolewa ni nini na tuuweke Utanzania mbele.

Hatuwezi kuacha kumkosoa Rais eti kwa sababu ni Muislamu mwenzetu na wanaompigia kelele ni wakristo.
TUWEKE MASLAHI YA NCHI MBELE.

Kinachozungumziwa ni haki na sio vinginevyo, HAKI IPO AU HAIPO? Kinachozungumziwa ni Uchaguzi huru na wa haki JE UCHAGUZI NI KWELI NI HURU NA HAKI?

Lissu alipigwa risasi Rais akiwa MKRISTO mwenzie na haukufanyika uchaguzi, MBOWE alikaa jela Rais akiwa MKRISTO mwenzie.
Zanzibar marehemu Maalim Seif alidhulumiwa kuteswa na kudhulumiwa haki yake MaRais wote walikuwa waislamu wenzie.
Sahihi
 
Ni kweli kabisa, hata wakati wa Magufuli walikuwa kimya tu; hawakuwa na kitu chq kusema. Leo kaja Samia sio Mkatoliki wanamsema kabisa.
 
Mimi ni mkataliki ila hili kanisa sio kabisa aisee
wameacha kuhubiri injilli, wamekuwa na ibada za siasa, RC duniani kote ni kivuruge, na inahusika sana kusababisha machafuko ya siasa, ndani ya kanisa waumini wana political ideologies tofauti, ila mapadri/maaskofu wanawalazimisha ziheshimiwe ideologies zao.
RC ndani ya mfumo wao ni autocratic kama serikali za kijeshi, they are never democratic, halafu wanajifanya ni champions wa democracy
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Wanaukumbi.

Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.

Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.

Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .

Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.

Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Ukitaka makara zako ziheshimike, Fanya tafiti kuliko kujiingiza kiushabiki na upofu wa historia.
Nilitaka kukuwekea waraka wa maaskofu katoliki, kumbe wameishakuwekea.
Askofu Niwemugizi (Tena wa Jimbo lake magufuri) alinyanganywa passport na kusingiziwa mkimbizi.
Askofu wa KKKT Karagwe akamyiwa vitimbwi vya kila aina. Yote hayo ilikuwa kwa sababu ya kukosolewa magufuri.
Jihadhari usiwe mdini, usiwe mkabira Wala kuendeshwa na mahaba ya uchawa.
 
Ukitoka makara zako ziheshimike, Fanya tafiti kuliko kujiingiza kiushabiki na upofu wa historia.
Nilitaka kukuwekea waraka wa maaskofu katoliki, kumbe wameishakuwekea.
Askofu Niwemugizi (Tena wa Jimbo lake magufuri) alinyanganywa passport na kusingiziwa mkimbizi.
Askofu wa KKKT Karagwe akamyiwa vitimbwi vya kila aina. Yote hayo ilikuwa kwa sababu ya kukosolewa magufuri.
Jihadhari usiwe mdini, usiwe mkabira Wala kuendeshwa na mahaba ya uchawa.
Pumbavu kabisa juzi mlituaminisha bandari wameuziwa waharabu.
 
Wanaukumbi.

Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.

Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.

Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .

Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.

Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Kama mnataka nchi iingie kwenye udini kisa kukemea dhulma.Afadhari hiwe hivyo yani mnafanya uhuni kwenye chaguzi afu mkaliwe kimya kisa rais mwislamu.
 
Wanaukumbi.

Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.

Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.

Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .

Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.

Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Samia hata sisi tusio na dini tunaona mapungufu yake.

Na tunamsema.

Na Magufuli tulimsema.

Kwa hiyo kuwasema Wakatoliki bado hakuondoi ukweli kwamba Samia ana madudu kibao.

Ambayo hata sisi tusio na dini na tuliomsema hata Magufuli tunayaona.
 
wameacha kuhubiri injilli, wamekuwa na ibada za siasa, RC duniani kote ni kivuruge, na inahusika sana kusababisha machafuko ya siasa, ndani ya kanisa waumini wana political ideologies tofauti, ila mapadri/maaskofu wanawalazimisha ziheshimiwe ideologies zao.
RC ndani ya mfumo wao ni autocratic kama serikali za kijeshi, they are never democratic, halafu wanajifanya ni champions wa democracy
Kwa hiyo wafumbie macho maovu yanayoendelea. Makanisani wanakemea wizi (kuiba kura, fedha za umma), wanakemea mauaji ( ya wanasiasa hata raia wema), kushitakiana kwa makosa ya kusingiziwa na baadae wanawaachia (rejea kesi ya mbowe, kesi Slaa, Sasa kesi ya Tundu Lissu) wanakemea kutotenda haki, wawe kanisani au nje ya kanisa. Wanakemea watu kitekwa na kupotezwa na serikali Iko kimywa. Vitendo vinavyoweza kuharibu amani ya nchi.
 
Wanaukumbi.

Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.

Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.

Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .

Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.

Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Sioni tofauti yako ya mtazamo wako kidini na hao unao waiting Wakatoliki. Wewe ni mmojawapo ya Wadini sama humu. Kiongozi muuaji awe Muisilamu, Mkatoliki etc lazime akemewe. Ni ujinga na upumbavu kuunga mkono wizi wa kura.
 
Nyaraka za TEC zinawauma sana. Nimeandika jana na leo narudia tena; Don't expect a comfortable barbaric ceremony sababu watu wema bado wapo. Kama walimkosoa hata kijana wao kabisa Ben Mkapa unadhani wataacha kumkosa Samia?
 
Wanaukumbi.

Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.

Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.

Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .

Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.

Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Ujumbe wa maaskofu umewafikia acheni kulialia, tendeni haki. Ccm ni wajinga wanahubiri Amani lakini wanaichukia Haki hadharani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom