Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,178
- 10,601
sijaona tatizo hapo, kwanza binafsi ningependekeza waende mbali zaidi ya hapo na kushawishi Wakristo wote kupigia kura Kiongozi Mkristo tu, haingii akilini kama wewe ni Mkristo halafu unapigia kura ambaye siye Mkristo, nani atapigania maslahi yako? …