Kaniambukiza, nimefanya uamuzi huu....

Hata mke??

Kwakweli usalama haupo kabisa wake,wachumba wote wanachepuka

Na huwezi kumpa mimba kwa kuvaa mipira sasa sijui tuwe tunatoa juu shahawa zimezwee na kujikinga unajikinga


Ila ukimwi upo kweli??
nimecheka sana mkuu
 
Enzi zetu hayo magonjwa tunajitibu na vidonge vile vya rangi mbili maana ukienda hsptl unaambiwa njoo na mwenzio halaf unakuta mm goma nimepiga kwny treni limeshukia itigi mm nimeenda dar.
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Hata mke??

Kwakweli usalama haupo kabisa wake,wachumba wote wanachepuka

Na huwezi kumpa mimba kwa kuvaa mipira sasa sijui tuwe tunatoa juu shahawa zimezwee na kujikinga unajikinga


Ila ukimwi upo kweli??
kwan huamini kama upo mjomba?
 
Enzi zetu hayo magonjwa tunajitibu na vidonge vile vya rangi mbili maana ukienda hsptl unaambiwa njoo na mwenzio halaf unakuta mm goma nimepiga kwny treni limeshukia itigi mm nimeenda dar.
mpka leo wanahitaji uende na mwenzio mkuu
 
Salaam....

Ni mwanamke niliyedumu nae kimahusiano kwa takribani miaka mitatu.

kiukweli sikuwahi kushuhudia wala kuskia hata kwa watu kwamba ananicheat.
Nikajipa moyo kuwa hapa nimepata na tulienda kwa mipango mingi sana ambapo mingine imetimia na mingine bado ilikua njiani kutimia.

Sasa jumatatu iliyopita kafika gheto bhana....kama kawaida ikabidi tuchujane protin bila uwoga....lakin kipindi tunachujana alikua anatoa harufu mbaya sana na kali sana kwnye marighafi yake, na ingawa ilinikera lkn sikujali...
na sikuhitaji kumuuliza mana nilihusi uwenda angejiskia vibaya na ningemkwaza....bs nikavumilia mpka mwisho wa show.

Sasa ijumaa usiku nimekaa kitandani nashangaa uume wangu unatoa vitu kama usaa tena kwa mfululizo....kwenda kukojoa nashangaa napata maumivu makali sana kwnye mrija wa kutolea mkojo....jumatatu nimeenda kucheck afya na kugunduluka nina gonorrhea a.k.a kisonono..nlidata. Sijasex na mtu yoyote kwa mda mrefu sana na mtu yeyote zaidi yake kwa mwaka mmoja na nusu hv.

Ugonjwa huu unaambukiza kwa kufanya mapenzi tu...sasa mpnz wangu kaupataje....kwa akili ndogo tu nikagundua amenicheat na si ajabu anafanya hivo tangu kitambo.

Leo mida ya saa tano nimempigia simu na kumtaarifu kuwa asinijue yani mim na yeye basi...na nimempa sababu kwamba ameniambukiza gonorrhea....ingawa nlicheck na sikukutwa HIV lakin ili kumkomoa nimemwambia pia nimekutwa na virusi vya ukimwi..
Sa hv nimepokea msg zaidi ya kumi za dada na kaka zake kuwa kachanganyikiwa anataka kujiua

Mi sijajibu kitu coz amsure kujiua hawez ila chamoto atakiona.

Wasaalam.
Hahaha
 
Mwonee huruma mkuu.

Mtaarifu kuwa ulikuwa unamtania, najua hawezi kuamini mpaka akapime.

Ila angalau umempa fundisho.
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Huyo Dada umemuonea bure tu, yaani kukutwa na Gono ndo umehitimisha kwamba alicheat?

Mkuu Gono siyo big deal kwa wanawake, wao ni carrier.

Mwanamke anaweza kukaa na gono kwa muda wa hadi miaka 12 bila kuona dalili zozote, ila mwanaume zikipita saa 24 baada ya kuambukizwa lazima uanze kuisoma namba.

Mwanaume akingonoka na mwanamke mwenye gono bila kutumia kinga, ana asilimia ishirini 20% za kupata maambukizi ya gono.Hivyo kuambukizwa gono siyo tit for tat business, unaweza kungonoka na mwanamke mwenye gono bila kinga na usipate.

Pengine huyo mwanamke alikuwa na gono tangu kabla hamjaanza kudate, na huenda mlishangonoka mara nyingi bila kupata si kwamba hakuwa nao bali ni kwamba yeye alikuwa carrier na wewe ulikuwa na asilimia ndogo za kuambukizwa.

Ndio maana watu wanashauriwa wapime afya zao kabla ya kungonoka bila kinga.

Kwa haya maelezo yako na jinsi nijuavyo, namwona huyu manzi yako akiwa innocent kwa 90%......Fanya mchakato wa masuluhisho.
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Baada ya miezi mitatu kapime na kipimo kikubwa UKIMWI.
Mkuu naona kamaa jamaa amekurupuka kufanya maamuzi na kuyahitimisha,......Kwani KE anakuwa carrier wa gono kwa muda gani?

Na chance ya ME kupata gono kwenye first exposure ni asilimia ngapi?
 
Huwezi fanya mapenzi leo ,kesho upime ngoma ukitegemea virus waonekane.
Subiri miezi 3 ndo upime
 
Mkuu naona kamaa jamaa amekurupuka kufanya maamuzi na kuyahitimisha,......Kwani KE anakuwa carrier wa gono kwa muda gani?

Na chance ya ME kupata gono kwenye first exposure ni asilimia ngapi?
sijakisia mkuu.....nilienda kwa daktar direct
 
Back
Top Bottom