Kaniambukiza, nimefanya uamuzi huu....

HIV inapimwa baada ya miezi 3
hiyo ni baada ya kupima mara ya kwanza sasa baada ya miezi mitatu ni confirmation....virus akisha ingia kwnye mwili hukaa masaa 72 tu baada ya hapo anakua ameshavamia cell za mwili.....kwa kipimo chochote cha kupima maambukizi ataonekana.
 
Pole sanaa ila hawa wanawake weng hawana huruma sijui kwann kila akikutana na mwanaume anamuachiaa papuchi tu bila kumuambiaa tumiaa kinga au laaahh ila mwenye maamuz ya kutumia kinga ni mwanaume
Kinga kwao ni option ambayo haipo. Atakwambia condom zinawasha mara fanya tu juu juu usiiingize yote haina shida mara ingiza tu utatolea nje. HATARI sana. Wanaogopa mimba zaidi ya magonjwa ya zinaa. Ila tuwasaidie tu tusaidiane tusilaumu wao tu hata vidume nao shida tu.
 
nadhani ifike hatua vijana tuwe na tabia kutumia condom for any sexual intercourse
 
Mi kwa hiyo harufu tu genye zote zingeisha
mmh mkuu mtoto yupo kama alivozaliwa mbele yako.....basi hapo kuna kasauti huwa kanakuja kichwani ""we piga tu mbona haina shida"""

mwishowe ndo kama hv tena
 
Hujafanya poa kumuumiza moyo mwenzio. Suala la kucheat linatokana na muwako wa mihemko ya mwili. Binti damu inachemka why asigongwe? kwani alikuandikishia kuwa K yake ni urithi wako?
 
Kinga kwao ni option ambayo haipo. Atakwambia condom zinawasha mara fanya tu juu juu usiiingize yote haina shida mara ingiza tu utatolea nje. HATARI sana. Wanaogopa mimba zaidi ya magonjwa ya zinaa. Ila tuwasaidie tu tusaidiane tusilaumu wao tu hata vidume nao shida tu.
Kidume akiwa na nyege sana ndio wanaenda hivyo hivyo ila sisi tunaojihadhari tupo makini sana yaan kaka nmechoka sana sijui hawa wanawake wanaakili gan kujihadhari kwa afya zao
 
siwezi kumwacha aendelee pata tabu mkuu.....nlitaka tu kutengeneza mazingira ya yeye kutorudia tena kufanya upuuzi kwnye mapenzi hata mbeleni.
Na wewe pia uwe mwangalifu sasa maana wa dada wa siku hizi tamaa mbele. ..alafu wamekuwa hawajithamini tena. ..huwa wanachezewa sana na mijitabia yao ya kuvaa nusu uchi. ..uchafu mtupu. .KUWA MAKINI NDUGU YANGU
 
Hujafanya poa kumuumiza moyo mwenzio. Suala la kucheat linatokana na muwako wa mihemko ya mwili. Binti damu inachemka why asigongwe? kwani alikuandikishia kuwa K yake ni urithi wako?
duuuhh mkuu ni kweli...lkn kama alikua na mihemko na ilimzidia si angenambia tu
 
nadhani ifike hatua vijana tuwe na tabia kutumia condom for any sexual intercourse
Sikumbuki mara ya mwisho kunyeshewa mvua bila mwanvuli nahisi siku nikimumunya pipi bila Ganda mate yanaweza kupata utandu na uchungu ama kunauwezekano wa hata kuhisi mwili umeingiliwa na mgeni. Mara mía kuchukiwa na kuonwa bogus na mwanamke kwa kukataa kutumia mpira kuliko kufungwa goli la ugenini. Nilishakosana nao sana
 
Kidume akiwa na nyege sana ndio wanaenda hivyo hivyo ila sisi tunaojihadhari tupo makini sana yaan kaka nmechoka sana sijui hawa wanawake wanaakili gan kujihadhari kwa afya zao
Wamepigwa na majini mabaya ya uasherati na hayo majini yanataka kuwauwa tu...
 
Back
Top Bottom