Testar
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 7,832
- 13,474
Wewe hunajielewa,.....hebu soma post namba 90 kwanza......Kuna uwezekano mkubwa sana huyo manzi yako akawa hajawahi kukucheat.sijakisia mkuu.....nilienda kwa daktar direct
Wewe hunajielewa,.....hebu soma post namba 90 kwanza......Kuna uwezekano mkubwa sana huyo manzi yako akawa hajawahi kukucheat.sijakisia mkuu.....nilienda kwa daktar direct
rudia kusoma post...lini nimesex na lini nimeenda hospital.....then fanya utafiti virus akishaingia mwilin hutumia masaa mangapi mpka kuingia kwenye cell za mwili......?Huwezi fanya mapenzi leo ,kesho upime ngoma ukitegemea virus waonekane.
Subiri miezi 3 ndo upime
Na.wasiwasi tuu ..kama upo.basi hausababishwi na ngonokwan huamini kama upo mjomba?
Kwa nature ya viungo vya uzazi vya mwanamke atakuta ameshakaa na huo ugonjwa zaidi ya siku 14 lakini kwa mwanaume ni rahisi kujua maambukizi ya gono mapema.Mkuu naona kamaa jamaa amekurupuka kufanya maamuzi na kuyahitimisha,......Kwani KE anakuwa carrier wa gono kwa muda gani?
Na chance ya ME kupata gono kwenye first exposure ni asilimia ngapi?
Issue ni kwamba tofauti na wanaume, wanawake wengi ni carrier wa gono.Kwa nature ya viungo vya uzazi vya mwanamke atakuta ameshakaa na huo ugonjwa zaidi ya siku 14 lakini kwa mwanaume ni rahisi kujua maambukizi ya gono mapema.
Fanya mchakato wa masuluhisho na huyo manzi yako mkuu, huenda hajawahi kuchepuka tangu aanze kuwa na wewe.nimeiona mkuu.....ahsante kwa ufahamu.
kama ni kweli nimekosea mungu aniswamehe
mkuu hili swala unalolisema mm mwenyewe siliafiki..Issue ni kwamba tofauti na wanaume, wanawake wengi ni carrier wa gono.
KE anaweza kukaa na gono miaka na miaka bila kuona dalili zozote......Wakati huo huo KE ana chance kubwa ya kuambukizwa gono kuliko ME.
Uamuzi aliofiki huyu mtu wa kwamba kwa sababu ameambukizwa gono basi manzi alichepuka siafikiani naye.........huenda huyo mwanamke alikuwa na gono tangu kabla ya kuanza kwa mahusiano yao.
Kwenye net kuna machapisho mengi sana yanayoelezea haya mambo, ingia usome.mkuu hili swala unalolisema mm mwenyewe siliafiki..
wadudu wa gonorrhea(gonococcae) hukaa kwnye majimaji ya uke au kwnye sperm......hyu mwanamke huwa nilikua nasex nae sometimes usiku kucha na tumesex bila cndom mara nying sana tena sana.........na mpka hyo siku ananipa shida nlikua nimetoka kusex nae wiki tatu zilizopita tena kwa kulala nae siku tatu mfululizo...
wale wadudu sio wazembe kiasi hicho cha penis kuingia kwnye vagina zaid ya three years wakawa wanaiangalia tu
na kumbuka nasex nae bila condom..
labda useme lingine mkuu.
Huko kuharibikuwa kwani ni mshikaji kasababisha? Na kama wasingekutana naye kimwili nani angemjulisha?Acha mambo yako mwenzio anaharibikiwa viungo vya uzazi we unajisifu