Hiki ndio nin sasa .
Sumbawanga hiihiii ambayo Airport yake imegeuka Shamba!??
Huu mjadala naomba ubaki dhidi ya Kahama na Huko sijui Njombe ila Mbeya, Iringa, Sumbawanga na kimbilio lako kuu Dodoma zote hizo Hazifiki MWANZA ukiendelea kubisha kuna siku utajinye.a au kichwani ni Vacuum!!
Case closed!!
Ndio kwani Kuna shida?Ila Mbeya mkoa umefikia hadi stage hakuna kusajili tena bajaji mpya maana zimezidi kuliko mahitaji husika
Kwaio millard ayo katudanganyaSumbawanga hakuna uwanja ndio kwanza Wizara inasaka pesa za kujenga pamoja na Shinyanga
Lini nilikwambia natafuta uteuzi?👇Kwaio millard ayo katudanganya
Kwa stahili hii siku ukila teuzi niite mbwa.
Hivi sunk hio kichwa yako ni ya kazi gani. Unaelewa maana ya neno HAKUNA kama ulivyosema na unaelewa maana ya MABORESHO kama alivyosema wazir.Lini nilikwambia natafuta uteuzi?
Hakuna ndege zozote zinazotuaHivi sunk hio kichwa yako ni ya kazi gani. Unaelewa maana ya neno HAKUNA kama ulivyosema na unaelewa maana ya MABORESHO kama alivyosema wazir.
Kwa hyo ,, aviation services huko ni poor Kwa sababu ya financial capacity ya raia wenu ni ndogo si etiHakuna ndege zozote zinazotua
Kichwa ake ni Dispenser ya Mate na PUMBA tu mkuuHivi sunk hio kichwa yako ni ya kazi gani. Unaelewa maana ya neno HAKUNA kama ulivyosema na unaelewa maana ya MABORESHO kama alivyosema wazir.
Shida huko kwenu mmezoea mabusHakuna ndege zozote zinazotua
Kutwa kusema na kushabikia takwimu zao za michongo eti mikoa ya kanda maskiniKwa hyo ,, aviation services huko ni poor Kwa sababu ya financial capacity ya raia wenu ni ndogo si eti![]()
Yaani ikitokea leo, Air Tanzania waambiwe wachague viwanja vitano vya kudumu kwa ajili ya biashara yao, huko Kusini hamtoi hata kiwanja kimoja yaani viwanja vyote watageuza mashamba ya maharage na mpunga.Kutwa kusema na kushabikia takwimu zao za michongo eti mikoa ya kanda maskini
Hakuna mtu mwenye hela zake na haraka zake atakeyefurahia kupanda mabasi kila siku kwenda huko kusini....ishu ni kwamba hawana hela
Yaani Songwe yenyewe badala ya abilia kuongezeka idadi inashuka, ngoja Sunk aje na mabasi kwanzaYaani ikitokea leo, Air Tanzania waambiwe wachague viwanja vitano vya kudumu kwa ajili ya biashara yao, huko Kusini hamtoi hata kiwanja kimoja yaani viwanja vyote watageuza mashamba ya maharage na mpunga.
View attachment 2505654
Abiria wa bukoba wamepanda siku hiz...ni 80000 kwa mwaka....Yaani ikitokea leo, Air Tanzania waambiwe wachague viwanja vitano vya kudumu kwa ajili ya biashara yao, huko Kusini hamtoi hata kiwanja kimoja yaani viwanja vyote watageuza mashamba ya maharage na mpunga.
View attachment 2505654
Yaan Dodoma na kuwa capital city...abiria inazidiwa na Bukoba mji ambao wala sio economic capital? Na hauna uwekezaji wa maana wa serikaliYaani ikitokea leo, Air Tanzania waambiwe wachague viwanja vitano vya kudumu kwa ajili ya biashara yao, huko Kusini hamtoi hata kiwanja kimoja yaani viwanja vyote watageuza mashamba ya maharage na mpunga.
View attachment 2505654