Kafulila: Watanzania zaidi ya mil 40 ni Wakulima mil 28 kati yao ni Wanawake tunapunguza Umasikini kwa nchi yetu kuwekeza zaidi kwenye Sekta ya kilimo

Muwe mkitumia akili kidooogo ujinga wenu unachefua na kuirudisha nchi nyuma!!
pesa zakwenye karatasi sio sawa na zinazopelekwa kwenye sekta husika kama ilivyokusudiwa/ilivyotamkwa!!
Huyo aliyeachwa na mke Kwa ujuaji na uongo anapalilia ajira yake mshahara uendelee kutiririka alizoea mabilioni ya ubunge ghafla akayakosa sahivi ni kufaidi serikalini kujiajori hawezi ni lijimshahara laserkali pamoja na marupurupu kibao kwakodi zetu walalahoi!!
Wewe zuzu unaushabikia tuu...Mijinga nimingi sana hii nchi!
umepanic right?🐒
 
Akizungumza katika maadhimisho ya miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchini PPP Mhe David Kafulila amesema,

Nchi ya Tanzania kwa awamu hii ya sita imeamua kujikita zaidi kwa kuwekeza kwenye Sekta ya Kilimo ambayo inagusa Jamii kubwa ya Watanzania,

Kilimo ndio Sekta ambayo Kila Mtanzania inamgusa kwa namna moja au nyingine huko nyuma haikupewa kipaumbele sana kama ilivyo Leo,

Mathalani, Kilimo bajeti yake imekuwa kutoka TZS 230BL mpaka TZS 970BL karibu mara Nne ,

Sote tunafahamu zaidi ya 70% ya wakulima wote ni Wanawake ambao ni karibu Wanawake mil 28 wanategenea Kilimo na hata hivyo zaidi ya 64% ya Watanzania wote 61,741,120 ambao ni karibu wakulima mil 40 huku zaidi ya 80% ya malighafi zote za viwandani zinatemea Kilimo.

View attachment 2947980
Na watoto nao ni wakulima maana zaidi ya 46 % ya watanzania ni watoto chini ya 18
 
Akizungumza katika maadhimisho ya miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchini PPP Mhe David Kafulila amesema,

Nchi ya Tanzania kwa awamu hii ya sita imeamua kujikita zaidi kwa kuwekeza kwenye Sekta ya Kilimo ambayo inagusa Jamii kubwa ya Watanzania,

Kilimo ndio Sekta ambayo Kila Mtanzania inamgusa kwa namna moja au nyingine huko nyuma haikupewa kipaumbele sana kama ilivyo Leo,

Mathalani, Kilimo bajeti yake imekuwa kutoka TZS 230BL mpaka TZS 970BL karibu mara Nne ,

Sote tunafahamu zaidi ya 70% ya wakulima wote ni Wanawake ambao ni karibu Wanawake mil 28 wanategenea Kilimo na hata hivyo zaidi ya 64% ya Watanzania wote 61,741,120 ambao ni karibu wakulima mil 40 huku zaidi ya 80% ya malighafi zote za viwandani zinatemea Kilimo.

View attachment 2947980
Ni wakulima 28m au ni watu 28m wanaoishi mashambani wakifanya kilimo Cha kujikimu? Ufafanuzi tafadhali.
 
Akizungumza katika maadhimisho ya miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchini PPP Mhe David Kafulila amesema,

Nchi ya Tanzania kwa awamu hii ya sita imeamua kujikita zaidi kwa kuwekeza kwenye Sekta ya Kilimo ambayo inagusa Jamii kubwa ya Watanzania,

Kilimo ndio Sekta ambayo Kila Mtanzania inamgusa kwa namna moja au nyingine huko nyuma haikupewa kipaumbele sana kama ilivyo Leo,

Mathalani, Kilimo bajeti yake imekuwa kutoka TZS 230BL mpaka TZS 970BL karibu mara Nne ,

Sote tunafahamu zaidi ya 70% ya wakulima wote ni Wanawake ambao ni karibu Wanawake mil 28 wanategenea Kilimo na hata hivyo zaidi ya 64% ya Watanzania wote 61,741,120 ambao ni karibu wakulima mil 40 huku zaidi ya 80% ya malighafi zote za viwandani zinatemea Kilimo.

View attachment 2947980
Mwamba sana huyu jamaa
 
Back
Top Bottom