kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,035
- 6,718
Leta ripoti moja tuu ya ufanisiUpuuzi wa 970bl?
Au sijakuelewa
mf. Mashamba makubwa ya umwagiliaji yamewezeshwa na serikali tumevuna tani kadhaa nk.
Hapo at least tutakuelewa sio upuuzi wakujificha kwenye bajeti.
Serikali hii inayoshindwa kupata faida hata kwenye biashara rahiiisi ya mafuta itawezesha kilimo gani??
Acha vichekesho vinavyochekesha kwakuwa havichekeshi