Kafulila: Kwa miaka mitatu Rais Samia amekopa nje TZS 12.5T sawa US$ 5BL lakini amelizalishia Taifa TZS 47.5T sawa na US$19BL

Deni la Taifa lapaa, wachumi waeleza​

Muktasari:
Deni la Taifa Machi 2023 limeongezeka hadi kufikia Sh 94.8 trilioni kutokea Sh87 trilioni kipindi kama hicho mwaka 2022 sawa na ongezeko la asilimia 8.9 huku sababu mbalimbali zikitajwa ikiwemo miradi ya kimkakati inayotekelezwa. chanzo. Deni la Taifa lapaa, wachumi waeleza


Kwa hivi Serikali inavyokopa kopa nje Deni litazidi zaidi ya Sh 100 trilioni mpaka leo au zaidi ya hapo. Haya Wa-Tanzania tuchangeni kuisaida Serikali kulipa deni la Taifa. Kwani Serikali imeshindwa kulilipa hilo Deni. Linazidi kuongezeka mwishoe Serikali itafilisika kwa kudaiwa madeni Mengi .
Uongo uongo tu
 
Kamishina wa PPP Mhe David Kafulila anasema "Wakati Rais Samia anaingia madarakani Uchumi wa Tanzania ulikuwa US$ 66BL Leo ni US$ 85BL sawa na ongezeko la US$19 wakati deni la nje ni US$ 5BL tu.

View attachment 2945755
View attachment 2991403
Habari JF,

Pamoja na zogo nyingi za mamluki hasa wale waliopeleka watoto wao kuishi na kusoma Ulaya dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka eti wakidai uchumi wa Tanzania unadorola.!!

Hii ni bad luck kwao kwani wakati wote na popote namba daima huwa hazidanganyi na zinanguvu zaidi ya porojo na uzushi hasa wa wale wasiolitakia mema Taifa hili ambao wako tayari hata kuiuza nchi kwa wazungu wanaowapa mabilioni na kuwalelea familia zao.

Chanzo cha taarifa hii ni kutoka Shirika la Fedha na Uchumi Duniani yaani IMF,

=========

Katika ukurasa wake wa twitter(X) Mkurugenzi wa PPP nchini Tanzania Bw David Zacharia Kafulila ameandika haya kwa ufupi,

Kwaniaba yangu naomba kumpongeza sana Kafulila Kwa kuendelea kuyasema mazuri ya Serikali ya awamu ya sita bila kujali majina anayoitwa mara Chawa, mara kiroboto et Al.
View attachment 2991401
expand...
Pamoja na kazi nzuri anayoifanya David Kafulila bado Watanzania wanahitaji kupewa Elimu ya kutosha juu ya mambo mazuri kama haya ,

Shida ya Watanzania ni Taarifa tu ndio hawana ndio maana unaweza ukadhani ni wakorofi kumbe hapana

Watu wengi tunaioenda sana CCM.
 
Kamishina wa PPP Mhe David Kafulila anasema "Wakati Rais Samia anaingia madarakani Uchumi wa Tanzania ulikuwa US$ 66BL Leo ni US$ 85BL sawa na ongezeko la US$19 wakati deni la nje ni US$ 5BL tu.

View attachment 2945755
expand...
Hongera sana ndg yangu Kafulila naona nia yako ni njema Mungu akupe tarajio la moyo wako,

Hakika unanisaidia CCM na Rais Samia na Serikali,

Unajibu hoja kwaakili na kwa staha sana,

Hakika Umebarikiwa sana ndg yangu.

Nafuatilia maandiko yako yote hata usiku huu,

#Ubarikiwe, Ubarikiwe Ubarikiwe X7
 
Ndio kipindi ambacho tumeshuudia kodi nyingi tangu nchi hii kupata uhuru!

Yani hata anaenunua luku anapigwa 1,500 eti kodi ya jengo.

Hizo hela alizozalisha zimeenda wapi?

Kafulila aache utaahira ndio maana mke alimpigia chini.
Unaposema Kafulila ni muongo uje na hoja yenye ukweli.
 
Kamishina wa PPP Mhe David Kafulila anasema "Wakati Rais Samia anaingia madarakani Uchumi wa Tanzania ulikuwa US$ 66BL Leo ni US$ 85BL sawa na ongezeko la US$19 wakati deni la nje ni US$ 5BL tu.

View attachment 2945755
Kwa hiyo, anataka kusema nini? Mbona kila Rais uchumi alioukuta ulikuwa chini na baadaye ukakua kuanzia kwa Mwalimu? Kuna mambo yalifanyika zamani na matokeo yake yanaanza kuonekana sasa. Hebu mlio karibu muulizeni hili analizungumziaje?
 
Akili kubwa Kafulila ngoja tuwasubiri pingapinga FC
kaongeza mapato kwel maana si mchele , sukari , mafuta yote ya kupikia na kuendeshea pia kodi za kila sehem si mliona vilipanda kwa kiasi gan ? je unahisi njia ya anga au majini alipobinafsisha au njia ya reli inayorudi nyuma kwa kasi ya ajabu vinaweza muongezea mapato ? TUWE WAKWEL UNAFIKI UTATUONGOZA NJIA MBAYA , MAPATO YA SAMIA HAJAHAKISI MAISHA YA WENGI BALI WACHACHE SANA ENYE NAFASI ZAO
 
Unaposema Kafulila ni muongo uje na hoja yenye ukweli.
kaongezaj mapato maana kila idara pesa hazifiki serikalin , je unataka kupinga na hilo ? awamu ya jpm idara watu waliogopa kupokea hela ya hongo na hela zote ziliingia kwenye mfuko mkuu je mama ambayr kila idara sasa hv inajilia atuambie pato kaongezaj ? au kupitia mikopo ?
 
Ndio kipindi ambacho tumeshuudia kodi nyingi tangu nchi hii kupata uhuru!

Yani hata anaenunua luku anapigwa 1,500 eti kodi ya jengo.

Hizo hela alizozalisha zimeenda wapi?

Kafulila aache utaahira ndio maana mke alimpigia chini.
wajinga hawawez kukuelewa kodi plus mfumuko wa bei haujawai kutokea
 
Mkuu fanya kazi acha kujilegeza
utafanya kazi sehem hakuna umeme wala miundombinu ya kusafirisha mazao , ukisoma ile point ya DISUNITY ndo unayo wewe sasa kisa unaish masaki unamwambia mtu wa Mlimba kifinya afanye kaz wkt umeme unazalishwa ndan ya kata yake na hana umeme zaid anaongezewa kodi kila kwenye zana yake ya Kilimo
 
Back
Top Bottom