Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,549
Nmezaliwa 2011Bitoz umezaliwa lini?
Nyerere alikuwa anavaa magwanda kaki ya JKT ambayo yanafanana na ya CHADEMA!
Hivyo acha kudanganya au kudanganyika!
OK...
Nmezaliwa 2011Bitoz umezaliwa lini?
Nyerere alikuwa anavaa magwanda kaki ya JKT ambayo yanafanana na ya CHADEMA!
Hivyo acha kudanganya au kudanganyika!
Nilitegemea utahoji pia kuwa KWA NINI NYERERE. .MWINYI...MKAPA...KIKWETE WOTE HAWAKUBADILI SIKU YA UHURU WA TANGANYIKA KUWA SIKU YA USAFI..mbona Nyerere, Mwinyi, Mkapa, na Kikwete, hawakuwahi kuvaa mavazi hayo.
..au, JWTZ wanataka kusema hii ni mara ya kwanza wanafanya mazoezi ya kijeshi?
Malofa bana ,nawakumbusha mbona nyerere alikuwa anavaa magwanda ya jkt Luna shida gani ? Kama jk hakutaka basi haimanishi na magufuli afanye ya jk,Kwahiyo kikwete hakuwahi kuwa kwenye shuguli za kijeshi?mbona akiwa kwenye shuguli za kitabibu hatumuoni akiwa amevaa kama madakitali?acha ujinga
Hahahahahahaah umeua mkuuNilitegemea utahoji pia kuwa KWA NINI NYERERE. .MWINYI...MKAPA...KIKWETE WOTE HAWAKUBADILI SIKU YA UHURU WA TANGANYIKA KUWA SIKU YA USAFI
Tatizo lenu linafahamika ila mnajificha nyuma ya pazia..ila kwa waelewa mko uchi tu
Wewe ndiyo hujui lolote Nyerere alikuwa anavaa nguo za Mgambo au kombati za Chadema na si za jeshi.Bitoz umezaliwa lini?
Nyerere alikuwa anavaa magwanda kaki ya JKT ambayo yanafanana na ya CHADEMA!
Hivyo acha kudanganya au kudanganyika!
akienda kuogelea anavaa nguo za kuogelea piaKwahiyo kikwete hakuwahi kuwa kwenye shuguli za kijeshi?mbona akiwa kwenye shuguli za kitabibu hatumuoni akiwa amevaa kama madakitali?acha ujinga
Zungusha mikono mkuu. Mnajulikana hata mkijificha kwa kujifunga handkerchief huku nyeti ziko wazi.Kama kuna kosa ambalo jeshi letu limefanya wakati huu ni "kukanusha uzushi" uliokuwa ukiendelea katika media mbalimbali.Amini nakwambia hata wale ambao hawakuona umuhimu wa jambo hili sasa watalipa umuhimu mkubwa na watakuja na majibu mazito kuliko yao.
Wivu ndo unawaumiza mkuu na wanateseka sanaaaHahahahahahaah umeua mkuu
Mbona waziri wa ulinzi hakuvaa? au yeye hakuwepi kwenye lile tukio?
kiprotokali za jeshi yeye ndio amiri jeshi mkuu,chini yake anaemfuata ni jenerali wa majeshi(kwa mujibu wa katiba yetu)Kwahiyo kikwete hakuwahi kuwa kwenye shuguli za kijeshi?mbona akiwa kwenye shuguli za kitabibu hatumuoni akiwa amevaa kama madakitali?acha ujinga
Siyo siasa za Afrika tu; na wala siyo siasa tu. Hiyo ni falsafa ambayo imezungumzwa pia na mwanafalsafa mfaransa Michel Foucault. Lakini alienda mbele zaidi na kusema kuwa siku zote wenye nguvu ndiyo utengeneza ukweli. Sasa hapa unaweza kuona kwamba jambo laweza kuwa ukweli, lakini likageuzwa kuwa uongo na wenye nguvu/madaraka. Na jambo laweza kuwa uongo, lakini likageuzwa ukweli na wenye nguvu/madaraka.Kwenye siasa za nchi hasa za Kiafrika uwongo ukiongewa sana bila kupingwa/kujibiwa hugeuka na kuwa ukweli.
Dk. Mwinyi hakuwahi hata kupitia Jeshi la Kujenga Taifa - kama angevaa combat ningemshangaa SANA.
Kwani hayo ni magwanda ya JWTZ?
..mnamuona mwingine huyu?
..sasa Mulungo na Makonda nao wakianza kuvaa kijeshi tutasema nini?
..waambieni JWTZ waseme huyu naye kwanini amevaa mavazi haya wakati hayuko jeshini.
cc The Boss, Kiranga, Nyani Ngabu, MsemajiUkweli
Exactly! Sasa waliotengeneza 'controversy' out of Magufuli's military attire, wameshinda. Kwani sasa kila mtu atapenda kufuatilia na kufukunyua zaidi. Yaani kama jeshi liliwaza kutoa ufafanuzi ni kuzima moto, limekosea. Kwani, sasa ndiyo wamechochea moto.Kama kuna kosa ambalo jeshi letu limefanya wakati huu ni "kukanusha uzushi" uliokuwa ukiendelea katika media mbalimbali.Amini nakwambia hata wale ambao hawakuona umuhimu wa jambo hili sasa watalipa umuhimu mkubwa na watakuja na majibu mazito kuliko yao.