Pre GE2025 DSM John Pambalu, Twaha Mwaipaya, Lucas Ngoto na wanachama kadhaa wa CHADEMA wapigwa na Polisi na kutupwa Bagamoyo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
wamepigwa simu zikabaki salama? huyu aliyekuwa anawarekodi yeye alitoka bukheri kabisa, very interesting
 
1745501165935.png
 
#Updates

1. John Pambalu, Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi.

2. Twaha Mwaipaya.

3. Lucas Ngoto mwenyekiti wa Chama kanda ya Serengeti.

4. Na wanachama wengine

Wamepigwa na kuumizwa sana na kutupwa Bagamoyo.
View attachment 3314156
Hata mimi nimechafukwa na roho, hawa jamaa wamekosa nini?
Tanzania hatuna vijana, au ndo ule usemi vijana taifa la kesho?
 
#Updates

1. John Pambalu, Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi.

2. Twaha Mwaipaya.

3. Lucas Ngoto mwenyekiti wa Chama kanda ya Serengeti.

4. Na wanachama wengine

Wamepigwa na kuumizwa sana na kutupwa Bagamoyo.
View attachment 3314156
duh poleni sana makamanda, hii nchi kama mambo yamekua magumu turudi chama kimoja tu, unaweka vyama vingi watu wapick side alafu unawasubiri wajichanganye unawabonda tunapoteza muda na focus na kupeana maumivu yasiyo na msingi....

bora tuwe kama china tu.


maana nguvu ya wananchi kwa hapa bongo haiamki leo wala kesho,,,, bado sana
 
But why jmn?
Wito Kwa waombaji ,tuingie chimbo tumwambie Mungu hakuna namna
Nilikuwa na wazo kama lako. Watu wengi hawajui tu nguvu ya maombi. Wakipatikana watu mia tu kwa uchache ili mradi wawe wasafi mioyoni mwao wakapiga yale maombi ya saa nane usiku huku wakipiga ile novena tu ya kawaida ya siku 9 achilia mbali ile ya siku 12 shughuli inaisha mapema asubuhi kabla wanafunzi hawajaenda mapumziko ya saa nne asubuhi. Nalisema hili kwa sababu nina ushuhuda nalo mi mwenyewe kwa asilimia 100.

Lakini why tumefika huku kumwaga damu za watu ni madaraka tu au kuna kitu kingine mimi sikijui kinaendelea kwenye hii nchi. Hivi hawa viongozi wetu hawajui kuwa damu ikimwagika ardhini kwa uonevu huwa inanena? Ni wakati muafaka sasa wa viongozi wa dini wawafundishe viongozi wetu wa serikali kuhusu madhara ya kumwaga damu bila sababu. Na kama kuna kiongozi anayefikiri atatawala hii nchi kwa kumwaga damu za watanzania basi asahau kabisa kwani hili taifa toka limepata uhuru limebarikiwa sana na Mungu ndio maana tangu uhuru mpaka sasa hukujawahi kuwa na machafuko makubwa ya kutishia amani yetu.

Aliye karibu na viongozi wa CHADEMA awaambie kwanza wasifikirie kulipiza kisasi maana kisasi ni cha Mungu mwenyewe lakini haraka sana waitishe maombi ya kitaifa kwa siku kadhaa kila mtu kwa imani yake ili mwenyezi Mungu ambaye ametuumba kwa mfano wake aweze kutusaidia kutondolea hili balaa la umwagaji damu lililoanza kutunyemelea kidogo kidogo liishie leo leo lisje likaendelea katika nchi yetu tukufu.

Mungu atubariki sana watanzania na atupe uvumilivu kwenye kipindi hiki kigumu.

Ni mtizamo tu
 
Back
Top Bottom