TEKERI NA PERESIMene mene.....
Mamamako!Drama, ndio maana jana nimewaona na maboksi ya tomato sosi kumbe kazi yake ni hiyo
Huwezi kupimana ubavu na jeshi utaumia#Updates
1. John Pambalu, Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi.
2. Twaha Mwaipaya.
3. Lucas Ngoto mwenyekiti wa Chama kanda ya Serengeti.
4. Na wanachama wengine
Wamepigwa na kuumizwa sana na kutupwa Bagamoyo.
View attachment 3314156
Ni wakati wako wewe na CCM kufurahi, ila kuna siku mtalia pia, ni suala la muda tuMbona hata kiswahili cha tabu hao watu....
wewe ni mjingaHuwezi kupimana ubavu na jeshi utaumia
Walisema msiendeInasikitisha sana kwa haya yaliyotokea. Mwananchi kwenda Mahakama ya wazi kusikiliza kesi halafu anafukuzwa na kupigwa. Hapana.
Ndiyo maana mnabondwa
Hata mimi nimechafukwa na roho, hawa jamaa wamekosa nini?#Updates
1. John Pambalu, Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi.
2. Twaha Mwaipaya.
3. Lucas Ngoto mwenyekiti wa Chama kanda ya Serengeti.
4. Na wanachama wengine
Wamepigwa na kuumizwa sana na kutupwa Bagamoyo.
View attachment 3314156
Unategemea CCM itatoka kwa space za mariah sarungi au matusi ya sativa au huku kuandika kwenu jamii forum na kujaza server..ukitaka nilie kweli toka hapo kitandani uende ukapambane mageuzi sio lele mama kwa kutumia vidole...Ni wakati wako wewe na CCM kufurahi, ila kuna siku mtalia pia, ni suala la muda tu
wamepigwa simu zikabaki salama? huyu aliyekuwa anawarekodi yeye alitoka bukheri kabisa, very interesting
Kwani umemwona aliyewarekodi?wamepigwa simu zikabaki salama? huyu aliyekuwa anawarekodi yeye alitoka bukheri kabisa, very interesting
duh poleni sana makamanda, hii nchi kama mambo yamekua magumu turudi chama kimoja tu, unaweka vyama vingi watu wapick side alafu unawasubiri wajichanganye unawabonda tunapoteza muda na focus na kupeana maumivu yasiyo na msingi....#Updates
1. John Pambalu, Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi.
2. Twaha Mwaipaya.
3. Lucas Ngoto mwenyekiti wa Chama kanda ya Serengeti.
4. Na wanachama wengine
Wamepigwa na kuumizwa sana na kutupwa Bagamoyo.
View attachment 3314156
Nilikuwa na wazo kama lako. Watu wengi hawajui tu nguvu ya maombi. Wakipatikana watu mia tu kwa uchache ili mradi wawe wasafi mioyoni mwao wakapiga yale maombi ya saa nane usiku huku wakipiga ile novena tu ya kawaida ya siku 9 achilia mbali ile ya siku 12 shughuli inaisha mapema asubuhi kabla wanafunzi hawajaenda mapumziko ya saa nne asubuhi. Nalisema hili kwa sababu nina ushuhuda nalo mi mwenyewe kwa asilimia 100.But why jmn?
Wito Kwa waombaji ,tuingie chimbo tumwambie Mungu hakuna namna
Lord Have Mercy#Updates
1. John Pambalu, Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi.
2. Twaha Mwaipaya.
3. Lucas Ngoto mwenyekiti wa Chama kanda ya Serengeti.
4. Na wanachama wengine
Wamepigwa na kuumizwa sana na kutupwa Bagamoyo.
View attachment 3314156
Dikteta magufuli aliyetamani kutawala mileleHii ndiyo faida ya nyumbu kushangilia kifo cha Magufuli