Pre GE2025 DSM John Pambalu, Twaha Mwaipaya, Lucas Ngoto na wanachama kadhaa wa CHADEMA wapigwa na Polisi na kutupwa Bagamoyo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tuonge ukweli ndugu yako angekuwa kafanyiwa hivyo Sema ukweli ungesemaje kwa huyo alieandika maneno kama haya ulioandika? Ujue Mdomo Ni hatari sana hata Ki Imani? Karma Is A bich kumbuka hilo..
KWANINI ALETE FUJO NA ASIPIGWE YAANI WAPIGWE TU HAMNA NAMNA MPAKA WACHAKAEEE
 
Nilikuwa na wazo kama lako. Watu wengi hawajui tu nguvu ya maombi. Wakipatikana watu mia tu kwa uchache ili mradi wawe wasafi mioyoni mwao wakapiga yale maombi ya saa nane usiku huku wakipiga ile novena tu ya kawaida ya siku 9 achilia mbali ile ya siku 12 shughuli inaisha mapema asubuhi kabla wanafunzi hawajaenda mapumziko ya saa nne asubuhi. Nalisema hili kwa sababu nina ushuhuda nalo mi mwenyewe kwa asilimia 100.

Lakini why tumefika huku kumwaga damu za watu ni madaraka tu au kuna kitu kingine mimi sikijui kinaendelea kwenye hii nchi. Hivi hawa viongozi wetu hawajui kuwa damu ikimwagika ardhini kwa uonevu huwa inanena? Ni wakati muafaka sasa wa viongozi wa dini wawafundishe viongozi wetu wa serikali kuhusu madhara ya kumwaga damu bila sababu. Na kama kuna kiongozi anayefikiri atatawala hii nchi kwa kumwaga damu za watanzania basi asahau kabisa kwani hili taifa toka limepata uhuru limebarikiwa sana na Mungu ndio maana tangu uhuru mpaka sasa hukujawahi kuwa na machafuko makubwa ya kutishia amani yetu.

Aliye karibu na viongozi wa CHADEMA awaambie kwanza wasifikirie kulipiza kisasi maana kisasi ni cha Mungu mwenyewe lakini haraka sana waitishe maombi ya kitaifa kwa siku kadhaa kila mtu kwa imani yake ili mwenyezi Mungu ambaye ametuumba kwa mfano wake aweze kutusaidia kutondolea hili balaa la umwagaji damu lililoanza kutunyemelea kidogo kidogo liishie leo leo lisje likaendelea katika nchi yetu tukufu.

Mungu atubariki sana watanzania na atupe uvumilivu kwenye kipindi hiki kigumu.

Ni mtizamo tu
mkuu last line umeiweka kimkakati sana.

all in all kila aina ya movement ipush forward--- tunapitia mambo ya ajabu sana mkuu
 
Nikiwa kama Mtanzania nisipenda kujihusisha na siasa na sijawahi wala sitakaa nipige Kura, napenda kutoa Hongera Mama RRRR sasa Tumeelewa ulivyosema wewe na Magufuli ni kitu kimoja, mwenzako yupo Kaburini funza wanamtafuna na kama moto upo yupo anatiwa moto, Polisi hawawezi kumsaidia, Wanajeshi hawawezi kumsaidia, wala CCM haiwezi kumsaidia, anateseka kwa hayo yakwenu ya kitu kimoja mnayoyafanya!, akitamani hata angepewa nusu saa ya kurudi Tanzania na kuweka sawa yote aliokosea...kumwomba Lissu, Familia ya Ben Saa 8, Azori na wengine wote aliowatesa,! Heri yako Mama wewe unapumua na una mamlaka unaweza kuyakataa haya na kutubu , kwa Magu it's too late... Tanzania tumeikuta tutaicha, CCM ilizaliwa na itakufa iwe leo kesho au miaka elfu Moja ijayo mwendo ni ule ule 6 feet deep in the soil 🥲🥲
Pumbavu Kila sehemu ni lazima mumtaje magufuli
 
Back
Top Bottom