Jina la Tundu Lissu latawala mkutano wa TLS Arusha

Zamani sana huku iringa mtu mahiri na shujaa kama huyu wazee walikuwa wanamuandalia mwanamke mzuri ambaye atamtunza maadui wasimdhuru!
Go lissu gooo
Iringa wapi kalenga, nduli , igingilanyi, tosamaganga,igumbilo,ndolela kwa wachawi au uhambingeto?
 
Uchaguzi utafanyika kwa kanuni zipi? TLS wana kanuni za uchaguzi?
Mzee uko wapi?ile haifungamani na serikali,ni taasisi huru inayojitegemea,ndio maana serikali haiwezi kuzuia uchaguzi,labda mahakama kama Kuna mwamachama wao ataenda kufungua kesi kama walivyofanya?
 
Mzee uko wapi?ile haifungamani na serikali,ni taasisi huru inayojitegemea,ndio maana serikali haiwezi kuzuia uchaguzi,labda mahakama kama Kuna mwamachama wao ataenda kufungua kesi kama walivyofanya?
Unataka kuniambia kuwa TLS haikuundwa kwa sheria iliyopitisha na bunge? ( nazungumzia parent act)
 
Kuna mtu akimuona Lissu anachanganyikiwa.
Kilichobaki ni kuandika kuwa jina lisu latajwa sana kwenye vyoo vyote vya ofisi Za TLS endeleeni kujinadi Kama mko gulio LA viroba. Ila Mjue TLS ni proffessional body mtu hachaguliwi kwa Kelele za mitandaoni nk
 
Ndio imeundwa na bunge,lakini kwa Sasa serikali haewezi zuia,mpaka warudi tena bungeni, kubadili kanuni,
Mkuu serikali inazuia vipi? kama wakili mweznao aliyefungua kesi ikashinda si mahakama itasimamisha huo uchaguzi batili ambao unasimamiwa na kanuni zilizotungwa na mtu ambaye hakupewa mamlaka hayo na sheria ya bunge?
 
Yule mbunge wa kyela bado tu hajakimbilia mahakamani kusitisha uchaguzi, maana kila akikutana na jina la Lissu anakosa amani hadi anatia huruma.
 
Huyu jamaa kichwa.. namkubali anapotoa darasa huru pale mahakamani. Mkulu mwenyewe anamkubali sema ndio hivyo uchama.. umetawala
Sasa hivi Tundu Lissu ndiye chachu na chumvi katika tasnia ya sheria nchini. Mahakimu na Majaji huvutiwa sana na mashauri yanayomhusu.
Kabla ya hapo nafasi hiyo ilikua ikishikiliwa na mtu asiye mwanasheria kitaaluma aliyejulikana Mchungaji Christopher Mtikila (Hivyo kumfanya aonekane kama mtawala wa 'kikoloni' katika 'nchi ya sheria').
Naona nafasi hiyo Sasa imerudi kwa wanasheria wenyewe.
 
Back
Top Bottom