Jina la Tundu Lissu latawala mkutano wa TLS Arusha

Huyu Lisu ni mwanasiasa hiyo society haiitaji wanasiasa.... Is a neutrality society. Anatafuta umaarufu kwa watu wasiojua kitu. Aamue kuacha siasa na kugombea ama kubakia mwanasiasa.
 
Huyu Lisu ni mwanasiasa hiyo society haiitaji wanasiasa.... Is a neutrality society. Anatafuta umaarufu kwa watu wasiojua kitu. Aamue kuacha siasa na kugombea ama kubakia mwanasiasa.
So hao wagombea wengine.. hawana chama..? Tena wote ccm...
 
Tundu Lissu ni muumini wa Amani na haki katika taifa letu, apewe hiyo nafasi umma upate sauti ya kisheria kwa watu wote wenye mapenzi mema kwa Taifa letu.
 
Mkuu serikali inazuia vipi? kama wakili mweznao aliyefungua kesi ikashinda si mahakama itasimamisha huo uchaguzi batili ambao unasimamiwa na kanuni zilizotungwa na mtu ambaye hakupewa mamlaka hayo na sheria ya bunge?
tayari una misconceived opinion, anyway hicho unachokiwaza kuhusu uchaguzi kuzuiwa hakiwezi kutokea
 
TLS hawajawahi kufanya uchaguzi wakati wowote? Kama waliwahi kufanya uchaguzi ni kwa kanuni zipi? Au hizo kanuni ziliisha muda wake? Na kama muda wake uliisha, ni lini uliisha?
Kama walifanya chaguzi huko nyuma bila kanuni ama kwa kanuni mbovu ambazo zilitungwa na mtu ambaye hana mamlaka na hajawahi kupewa mamlaka ya moja na sheria ama kwa delegation basi ni kwamba haijawahi kuwa na viongozi na chaguzi zote walizozifanya kwa kanini hizo mbovu ni VOID AB INITIO
 
tayari una misconceived opinion, anyway hicho unachokiwaza kuhusu uchaguzi kuzuiwa hakiwezi kutokea
Utafanyika kibabe tuu uchaguzi ambao ni VOID ila mkiweka uanaharakati pembeni na kusimama kwenye taaluma yenu ya sheria utagundua wazi bila mashaka kuwa hoja za msomi WASONGA zina mashiko makubwa
 
Huyu lisu ni general wa sheria binge lililopita Makinda alimtumia sana kwa masuala ya sheria
 
Back
Top Bottom