Jina la Tundu Lissu latawala mkutano wa TLS Arusha

Ndio mkuu. Nimekusaidia jibu kutokana na swali ulilouliza kuhusu kirefu cha TLC...au ulimaanisha TLS!?
Asante Mkuu. Manake mleta post ametuletea TLC sasa akawa ameniacha kidogo kwenye kirefu chake.
Shukrani.
 
Wakati chama cha Mwanasheria Tanganyika (TLS)wakifanya semina katika ukumbi wa AICC jijini Arusha ,jina na Tundu Lisu limetawala kwa baadhi ya wanachama ambao wamesikika wakibishana kuhusu nani awe rais wa chama hicho huku wengi wao wakionyesha kuwa na imani na Mbunge huyo wa Singida Mashariki

Uchanguzi huo unatarajiwa kufanyika tar 18 ,mwezi huu,ukitanguliwa na semina inayoendelea sasa katika ukumbi huo wa kimataifa.

f56d5efe87a158bf7fe631a00d911f70.jpg
TUNAAMBIWA UKIABUDU SANAMU UTAFANANA NALO ! NA WANASHERIA WATAKAO MCHAGUA TUNDU WATAKUEA WANAFANANA NAE ! NA WASIJE SHANGAA TLS ITAVYO POROMOKA !
 
Back
Top Bottom