Mwenye nguvu mwite pawaUsikariri mzee usa kitugani bwana, yalikuwepo mataifa na ubabe wao leo yako wapi?

Wameleta na ukimwi wapigwe tuiUSA siwapendiiii washenzwi kxana
Huyu mapanki anataka kuwatia njaa tu wananchi wake hana ubavu wa kushindana na America na vijikombora vyake tuwili
Uimara wa jeshi na mambo kuwa sawa una hakikishwa kwa kukagua gwaride? Mkuu you must be kidding!.
Kuwa na silaha, kujua kuzitumia, kuwa na askari wakakamavu ni masuala tofauti sana na hayana uhusiano wa moja kwa moja na ushindi katika vita.
Idd Amini alikuwa na silaha kuliko sisi. Lakini tulitumia silaha zake na watu wke wengi sana kummaliza. Masuala ya kijeshi siyo sanaa za maonyesho. Yako masual ya msingi ambayo mara nyingi si rahisi kuyazungumzia ambayo pasipo hayo, hata ungeamrisha kombora lililoelekezwa masafa marefu, linaweza kurushwa likatua bafuni kwako.

Mkuu umetishaaJina lako linasadifu yaliopo
kuna najitu umu wanaendekeza shobo mkuuWameleta na ukimwi wapigwe tui