Je, North Korea ina uwezo wa kumnyamazisha mmarekani

Katika kusherekea siku ya kuadhimisha kuzaliwa kwa babu yake mapanki, korea imeonesha umahiri wake wa jeshi kwa parade kakamavu , pia kwa mara nyingine ndugu mapanki ameonesha submarine ambayo imetengenezewa uwezo wa kubeba silaha nzito za nyuklia na kumtahadharisha mmarekani juu ya hatua anazotaka kuzichukua dhidi yake kwa kumwambia kua yupo tayar kuingia vitani na kuzitumia silaha zake za nyuklia endapo bwana trump ataishambulia
Pia mzee wa panki kashakagua vikosi vyake kuhakikisha mambo yanaenda sawasawa na kutangaza kua yuko tayari kwa vita

Sasa hii tahadhari alotoa bwna mapanki itaweza kumfanya trump afikilie mara mbili mbili juu ya hatua anazotaka kuzichukua au ndo itamnyamazisha mmarekani na ubabe wake wote?
Korea wanaweza kumpiga tena bira shaka akuna kisicho kua na mwisho
 
USA ni muoga. Ni kweli kwenye vita huwa anatafuta washirika. Na kwa hakika North Korea siyo Syria wala Irag au Libya. Akijaribu pale ndio dunia itajua kumbe usa ni paper tiger. Na mara ya kwanza wamarekani wataonya adha ya vita kwa maana siku zote wao wamarekani wanapigana nje ya mipaka yao. Worl Trade Centre ya kipigo cha Osama bin Laden wstaiona kama tone la maji kwenye bahari kwa kipigo cha Nuclear watakachopata kutoka Pyong Yong.

North Korea wanazo silaha nzito zenye uwezo wa kufika majiji mengi ya America ., Juzi kati mstaafu mmoja wa CIA amekiri uwezo mkubwa silaha na vita wa North Korea. Halafu jambo la msingi hapa ni kwamba raiis wa North Korea hana matani kabisa. Ni mtu wa action, kwa hiyo kama Trump anataka kuwaangamiza raia wake aishambulie North Korea.
 
Tatizo Marekani itajifanya mlinzi wa Dunia,kila anayoingia yeye kwa lengo la kuweka mambo sawa,anaharibu.Nchi za Kiarabu ashazimaliza.
 
China ubepari ushawanogea na ndio kinga ya North Korea, sasa safari hii kichapo chaweza kutembezwa na USA kwa NK. Kitendo Cha China kusema shiraka lao la ndege linasitisha safari za kwenda NK siku chache zijazo kina ujumbe mzito kwa NK.

Sasa hii ya North Korea kuonesha silaha ni kama ile ya kusema nishikeni jamani nisije nikamuua. USA kesha sogeza zana na askari jirani na uwanja wa mapambano. Kwa nini North Korea hapeleki hiyo nyambizi jirani na USA kama uwezo huo anao?

North Korea kama ilivyo Urusi wao mabigwa wa poropoganda za kivita. Urusi alivyopiga mikwara syria nani alitegemea kuwa USA watavurumusha makombora na Urusi iishie kupiga veto tu UN.

Na washawasha!
 
Kwa jinsi korea alivyojihami nafikiri huyu freemason asipeleke pua kabisa, kwani nahisi korea anatafuta sehemu kavu ya kujalibishia Nuclear bomb, na sehemu nzuri anahisi itakuwa New york. Huyu bwana hatanii kabisa.
 
Kuwa na silaha kali kali za maonyesho ni kitu kimoja lakini uwezo wa kuingia vitani na kuhimili mapambano kwa muda mrefu ni kitu kingine kabisaaa! Na hapo ndipo mapanki atakapokwama kwa kukosa uchumi imara wa kuendesha vita dhidi ya Marekani, kwa hiyo wamarekani watamshinda kwa kuendesha vita kwa muda mrefu mpaka Mapanki azimike kama kibatari!
 
cebe63e11d8836ab20076b19bbfef779.jpg
 
Mkorea yuppo sawa wadau usa.asimfananishe mkorea n wale waarab wa gulf huyu jamaa yuppo fit ndio maana usa anasuasua anajua huwenda akajimaliza n yeye pia na makombora ya masafa maref pia akisogeza submarine zk ktk pacific ocean anaweza kumpiga hadi kwke seatlle
 
Sadam alisifiwaga ujinga ujinga hivi hivi mwisho wakamrestisha in trouble (was it in peace?). Trump kichwa chake sio kizuri kufanya naye mashindano ya sifa za kijinga.
 
Natamani siku moja America na Israel zifutiliwe mbali,,;hizi nchi mbili ndio zinasababisha dunia isiwe na amani,,, kuna nchi hadi leo watu wake wanauana sababu ya hizi nchi mbili
Mkuu Israel ni Taifa teule la Mungu hakuna taifa litakaloweza kuishinda Israel.For more information soma Biblia kitabu cha Kutoka /Exodus
 
Sasa yeye ana submarine moja wakati mwenzie anazo kumi wapi na wapi huyo hayo mapanki yanamsumbua
 
Back
Top Bottom