Kwenye kupigwa marekani sitaki amani acha iwe vita tu ila apigwe tu tena bila hurumaWacha tusubili movie, ila vita si yakuomba natamani watatue matatizo yao kwa njia ya amani
Kwenye kupigwa marekani sitaki amani acha iwe vita tu ila apigwe tu tena bila hurumaWacha tusubili movie, ila vita si yakuomba natamani watatue matatizo yao kwa njia ya amani
Eti China imetoa nje duh shikamooo tanzaniaTrumps anafanya timing pa kuanzia,,Ila N/Korea ile kitu Nuclear wanayo siyo story na wanaweza kupiga marekan,ila USA wanaangalia je wakilianzisha RAIA wake watapata madhara,na Mara nyingj anaangalia nchi ambazo hazina marafiki wakuba kama Russia,China hao ndio wapinzani wake,Korea ni rafiki na China na China ameombwa support ili Korea apigwe lakini kutoa nje.
Unajua target za USA wewe au anaongea huyo Gaddafi yupo wapi, huyo sadaaam yupo wapi Noriega yupo wapi hawa jamaaa wakishafikia plan yao done mbaki mparangane yeye anajinyonyea wese kwa kwa mrija na kuuza silahaAcha kukariri wewe,ni vita gani dhidi ya waarabu usa ameshinda?
Huko Libya bado hakukaliki,mpaka balozi wake akauawa kwa ambush,Iraq mpaka leo imemshinda,hata huko Afghanistan bado hakukaliki,sasa anajitia kuingia Syria huko anapotea tu, hata hiyo vita yake dhidi ya ugaidi bado ni kitendawili,pamoja na kua super power bado wanaishi kwa uoga kama Kunguru.
Kasome urudi tena pumba tucoz marekani alipata loss kubwa sana katika ile vita, na alipigwa mnoooo, alipoteza sana wanajeshi wake kule
ukitaka uthibitisho wa kisinema kajikumbushie ata ile muvi ya war bus
umeona jamaa walivyokimbia kule vietnam
wababe wanamiminika tu awana abar na mmarekani, na walivyo wengi kama siafu
We ndo uache kufananisha korea na vitu vya kijingaAcheni kufananisha marekani na vitu vya kijinga
Umeongea Pumba tupu ila mwenyewe hapo unajiona umetema madini unasubiri likes tu hapo...teh! teh! Kuwa na hicho kisimu na kuweza kuingia social media tayari umeshajiona unajua kila kitu!!!?Unajua target za USA wewe au anaongea huyo Gaddafi yupo wapi, huyo sadaaam yupo wapi Noriega yupo wapi hawa jamaaa wakishafikia plan yao done mbaki mparangane yeye anajinyonyea wese kwa kwa mrija na kuuza silaha
Hahahahahahaha ndo uelewe sasaUmeongea Pumba tupu ila mwenyewe hapo unajiona umetema madini unasubiri likes tu hapo...teh! teh! Kuwa na hicho kisimu na kuweza kuingia social media tayari umeshajiona unajua kila kitu!!!?
1.kuwa na heshima broWe ndo uache kufananisha korea na vitu vya kijinga
Marekani ishatabiliwa na biblia itatabiliwa itaangushwa na taifa dogo. Unazani taifa dogo ni ukelewe. ***** kaoge af uje hapa
Mweupe kichwan lowasa1.kuwa na heshima bro
Mama yangu anaingiaje tena hapa?
2, Achana na content ambayo ime prove ni kiasi gani kichwani uko mweupe jifunze angalau kuandika
Kwa akili yako una mfananisha Gaddafi na Kim Jong un..?Unajua target za USA wewe au anaongea huyo Gaddafi yupo wapi, huyo sadaaam yupo wapi Noriega yupo wapi hawa jamaaa wakishafikia plan yao done mbaki mparangane yeye anajinyonyea wese kwa kwa mrija na kuuza silaha
Nenda YouTube andika north korea dream utaona ilo kombora lao linapita wapi usiwanze kama bashite!!!Unafahamu kwamba North Korea wakirusha bomu la nyuklia kwenda Marekani linapitia anga ya Tanzania?