Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,165
- 5,615
Avtomat-Automatic... Na hiyo 'A' itasimama badala ya nini?
kwahiyo kwa akiri yako fupi uki uliza kitu kwa kutaka kujua ni kosa rudi shule mkuu.Wewe kuna mahali umeona siyo kwenye TV tu ndo ukomae nazo hivi. Utakuwa na nia ovu na Taifa hili wahusika wakufuatilie tu tafadhali siyo wa kawaida wewe.
Umeacha kuulizia tofauti ya bati la msauzi na kiboko eti uulizie silaha mmmmm una lako jambo mkuu.
Nenda wewe shule yaKijeshi Monduli ukafunze Aina ya Silaha na matumizi yake, Unatuchosha nini hapa au kamuulize Mwamnyange huko we vipi bhana usituunganishe katika uovu wako.kwahiyo kwa akiri yako fupi uki uliza kitu kwa kutaka kujua ni kosa rudi shule mkuu.
ebu niambie mimba yako ina miezi mingapi ili nikupe dawa.Nenda wewe shule yaKijeshi Monduli ukafunze Aina ya Silaha na matumizi yake, Unatuchosha nini hapa au kamuulize Mwamnyange huko we vipi bhana usituunganishe katika uovu wako.
Kiufupi AK47 sio SMG; ni Assault Rifle, kiuwezo ipo juu zaidi. AK 47 kwa Assault Rifle ni kama Scania kwa gari. AK47 ni aina mojawapo ya Assault Rifle, kama ilivyo M16 etc.
Nisaidie, the question was simple.... tofauti ya SMG na AK47Ebu soma kwa sauti ulichoandika
na hili haswa ndiyo swali kwenye topic hii.Mkuu utofauti ni mdogo mno kugundua kwa haraka ila return spring mechanism tofauti kidogo ya ak 47 nzito/ ngumu hivyo hata umalizaji wa risasi unapokamua rapid unawahi maliza,tabu inakuja watu wengi hata akiangalia silaha hizi kwa nje Mtu hawezi tofautisha.
Nisaidie, the question was simple.... tofauti ya SMG na AK47
According to you SMG ni bunduki YOYOTE ambayo ni automatic, hiyo sio kweli. Assault rifle na SMG are SIMILAR but not the SAME.Nimeshajibu sana huko comment za mwanzo
nitafute, nikufumue mguu wa kushoto na AK 47 halafu mguu wa kulia nikufumue na SMG halafu uone tofauti yake.Habari zenu wakuu wa jamvi naomba kuuliza kwa wale wenye uelewa wa tofauti kati ya silaha hizi SMG na ILE inayoitwa AK-47 nimekuwa mfatiliajia sana wa habari hapa nchi utasikia majambazi yamekamatwa na SMG siku nyingine utasikia majambazi yamekamatwa na AK-47 Je ni nini hasa tofauti kati ya vyombo vihi viwili au ni kitu kimoja ila majina tofauti na je kwanini nchi kama kenya hizi mashine hazitumiki sana tofauti na nchi kama Tanzania kila sehehu unakuta zipo despalayed.
SMG maana yake ni Sub Machine Gun.
Zipo SMG aina nyingi sana na zinakuwa categorized na ile rate of fire, yaani idadi ya risasi zinazotemwa kwa dakika.
AK47 ni aina moja tu kati ya aina nyingi za SMG.
AK47(Mikhail Klasnikov) ni kifupi cha mgunduzi Mrusi wa silaha hii aliyeigundua mwaka 1947.
Kumbe AK47 ni toleo la SMG! Sikuwahi kufahamu. Nilikua nikidhani ni toleo la kipekee...SMG maana yake ni Sub Machine Gun.
Zipo SMG aina nyingi sana na zinakuwa categorized na ile rate of fire, yaani idadi ya risasi zinazotemwa kwa dakika.
AK47 ni aina moja tu kati ya aina nyingi za SMG.
AK47(Mikhail Klasnikov) ni kifupi cha mgunduzi Mrusi wa silaha hii aliyeigundua mwaka 1947.
Hapo ndo maharibu mada mnajua mi nipo makini kuifatilia mada ebu tulieni kdgAtakujibu huyo mtalaam aliyepitia JKT, mm uwa sipendi kubishana nilidhani hapa tunajifunza tusiyoyajua kumbe tunabishana