Je, ni nini tofauti kati ya SMG na AK-47?

SMG maana yake ni Sub Machine Gun.
Zipo SMG aina nyingi sana na zinakuwa categorized na ile rate of fire, yaani idadi ya risasi zinazotemwa kwa dakika.

AK47 ni aina moja tu kati ya aina nyingi za SMG.
AK47(Mikhail Klasnikov) ni kifupi cha mgunduzi Mrusi wa silaha hii aliyeigundua mwaka 1947.
Automatic kolashkia
 
Mimi Kamanda wa sungusungu ninae tumia mishale lutago (kombeo )mundu na manati bahari hii ya AK inakuwa ngumu kuogelea.
 
SMG VS AK47 hizo zote ni siraha aina moja . kinachotofautusha ni nchi ziliko tengenezwa.
Pia unatakiwa ujue kwamba hakuna siraha duniani ambayo jina lake ni SMG .

Hlo Jina la SMG ni tabia ya siraha ambayo kirefu chake ni sub machine gun. SMG ni siraha yoyote yenye mapigo ya aina mbili hapa namaanisha chaguzi za upigani .

Inakuwa na single fire na rapid fire .
Hizo siraha zmetengezwa mataifa tofauti tofauti ambapo kwa mrusi inajulikana ni AK 47 ,kwa mchina inajulikana 76.5mm , kwa mjerumani inajulikana kama G3:, kwa mwisrael inajulikana kama uz gun ,kwa mwingereza na marekani inajulikana kama M 16 .

Hizo zote ni SMG yaan ina mapigo mawili. Kuitwa SMG ni mazoea yetu watz lakn hakuna siraha duniani inayoitwa SMG ...

Kinachozitifautisha ni caliber..
Mkuu kama nakuelewa vile
 
Hakuna aliyetoa jibu sahihi, in hivi, AK47 nayoni SMG, kwa Sababu SMG ni bunduki yeyote ambayo mapigo take yapo automatic, watu hutumia majina ya kimazoea kusema SMG, kitaalamu tunaita:
AK47 SMG, Uzi gun SMG, G3 SMG, M16 SMG, AK74 SMG, maana ya SMG ni "Sub-Machine Gun", yaani ni bunduki mbayo mapigo take ni ya automatic.
Siku nyingne usirudie kuchangia bila kisoma michango ya wengne..
Unauhakika hakuna aliyetoa jibu kama lako?
 
Uko vzr blaza, hongera you are an expert. Ak 47 hata kwenye maji iko vzr tofauti na SmG au SaR

But zote ziko katika kundi la assault rifles (rifles ambazo unaweza badili mapigo) rapid (usalama kati) na single (usalama chini kbs)
Nusu mfululizo...
 
Back
Top Bottom