Je, ni nini tofauti kati ya SMG na AK-47?

SMG maana yake ni Sub Machine Gun.
Zipo SMG aina nyingi sana na zinakuwa categorized na ile rate of fire, yaani idadi ya risasi zinazotemwa kwa dakika.

AK47 ni aina moja tu kati ya aina nyingi za SMG.
AK47(Mikhail Klasnikov) ni kifupi cha mgunduzi Mrusi wa silaha hii aliyeigundua mwaka 1947.
Alexander Kalashinkov
 
😋😋😋
95bf77.jpg
a4cec8.jpg
1bad6ad1.jpg
27f939d7.jpg
 
SMG siyo silaha ila ni sifa ya silaha
Sub machine Gun (SMG) zipo nyingi ni kama mfano gari useme Toyota lakin katika hizo Toyota kuna IST, RAUM, probox hvyohvyo SMG zipo Ak47, Airsoft MP 5, Uzi Gun na zingine nyingi , Sub machine Gun (SMG) ni sifa ya silaha yoyote yenye kuweza kupiga risasi moja moja na kumimina risasi nyingi kwa ku pull trigger Mara 1 tu yani unakuwa unaweza kujichagulia nipige moja au nipige nyingi kwapamoja, ambapo AK 47 nayo ni miongoni mwa silaha zenye sifa ya SMG kwasababu unaweza kujichagulia upigaje na mfano wa AK 47 ni hizi zinazo tumiwa na majesh yetu hapa Tz hasa polisi hii hapa
shutterstock_102492452_1.jpg
 
Tofauti kubwa ya SMG na AK-47 ni uwezo mkubwa wa Ak-47 kwenye Stamina.. yani range ya kwanza na ya pili unavyopiga mfulizo sio rahisi kucheza kama ilivyo Kwa SMG ukipiga range ya kwanza zinazofuata zinajichagulia pa kwenda yani..

AK-47 ni silaha Bora kuwahi kutengezwa duniani kwaajili ya kutoa roho za watu na yenye gharama nafuu sababu ilitengezwa na wajamaa yani
Eti "utofauti wa SMG na AK47" hiyo AK47 unayo isema yenyewe pia ni SMG , SMG siyo silaha ila ni uwezo wa silaha
 
Wa-vietnam walikuwa wanazifukia chiniAk-47,ikifika muda wa kazi wanaenda kuzifukua wanaingia mzigoni kama kawaida.
Wanajeshi wa Marekani walipata tabu sana na bunduki yao M16.ilikuwa ikingia tu kwenye tope inashindwa kufanya kazi,ila Wa-vietnam wao walikuwa wanapeta tu kwenye tope na Ak-47

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni hivyo zote zingeitwa SMG mzee Baba..
Kvp sasa mkuu? Silaha zote zenye sifa ya kupiga risas moja na nyingi kwa pamoja zote zinaitwa SMG
ZINGATIA (SMG ni sifa ya silaha na siyo silaha)
 
Ak-47 ndo silaha ambayo imetumiwa na majeshi yote dunia nzima na pia ndo silaha ambayo imetumiwa na waasi pamoja na magaidi wote dunia nzima.hakuna jeshi duniani lisilowahi kutumia Ak-47.
Sizani kama ipo siku itakuja kupatikana bunduki ambayo itakuwa na historia kama hii ya Ak-47

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofauti kubwa ya SMG na AK-47 ni uwezo mkubwa wa Ak-47 kwenye Stamina.. yani range ya kwanza na ya pili unavyopiga mfulizo sio rahisi kucheza kama ilivyo Kwa SMG ukipiga range ya kwanza zinazofuata zinajichagulia pa kwenda yani..

AK-47 ni silaha Bora kuwahi kutengezwa duniani kwaajili ya kutoa roho za watu na yenye gharama nafuu sababu ilitengezwa na wajamaa yani
G3 unaimanya
 
Wa-vietnam walikuwa wanazifukia chiniAk-47,ikifika muda wa kazi wanaenda kuzifukua wanaingia mzigoni kama kawaida.
Wanajeshi wa Marekani walipata tabu sana na bunduki yao M16.ilikuwa ikingia tu kwenye tope inashindwa kufanya kazi,ila Wa-vietnam wao walikuwa wanapeta tu kwenye tope na Ak-47

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi bunduki ya uingereza G3 ndio inaaminiwa,AK 47 inapiga umbali wa 70meter...G3 inapinga mpka meter 300 ni kwikwi hiyo....vikosi vya kenya kama GSU,KDF ndio bunduki wanazotumia kwasasa
 
Back
Top Bottom