Je, ikitokea Lowassa akapelekwa mahakama ya mafisadi, UKAWA wenzangu hamtalalamika kweli?

Chadema ni chama la kutetea mafisadi, si umeona jinsi walivyolalamika Sumaye alivyonyang'anywa shamba aliloshindwa kuliendeleza kwa miaka mingi na kugeuka pori.
 
Kama sheria na mahakama ya kusikiliza shauri hill ilikuwepo pamoja na magereza ya kumfungia ilikuwepo, walishindwa vipi kumshtaki?
Kushindwa kufanya hivyo kunadhihirisha uwepo wa mafisadi wengi ambao wangekumbwa na dhahama hiyo. Nashindwa kuelewa juu ya hili LA sheria ya mitandao kuja nyuma ya kampuni kisha kikaweza kuishitaki jf? Hapa napo bushlawyers mnatuambiaje? Au ni mbinu ya kuwezesha mahakama ile ipate wateja?
Tofautisha sheria na kuwepo mahakama maalum ya ufisadi..Sheria inayopinga ufisadi ilitungwa zamani na iliendana na kuanzishwa kwa TAKURU na Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma..wewe utakua mhaya uchwara
 
Haipaswi apelekwe Kwasababu za kisasi,kama anapelekwa Mahakamani Basi Ni Kwa mujibu wa Sheria ili kuona kama alimisuse office au lah.

Kusema Rais hajawa na kisasi cha kumpeleka mahakamani Ni kukosa weledi.
Mkuu hujajibu swali,je ikitokea anapelekwa mahakamani hamtalalamika kwamba kaonewa?
 
Tatizo JF imevamiwa na hizi touch na ndo maana porojo kama hizi tunakutana nazo. Achana na makelele mengi mkuu, kamata lowassa pandisha nae mahakamani toa hukumu tufunge mjadala.
Mkuu lakini kipindi mnaambiwa na Mbowe kwamba Lowasa ni fisadi haya yote hamkusema.vipi leo? Ipo siku hata Chenge atagombea uraisi kupitia ukawa,kama wanachama ndio mpo hivi?
 
Sote tunajua namna na jinsi viongozi wetu walivyotuaminisha kwamba Lowasa ni fisadi na hadi kwenye list of shame alitajwa pale mwembeyanga.sote watu wa ukawa kijumla tukaimba huo wimbo sana takribani miaka 8...ghafra bin vuu Lowasa akawa mgombea wa uraisi kupitia kwa waliomwita fisadi,eti tumebadili gia angani.

Hadi mzee ninayemheshimu na ntamuheshimu kwenye siasa Dr.slaa akaondoka kwenye chama ,kwa kuwa hakuwa tayari kumpaka mtu rangi,anyway niachane na hayo maana ilikuwa ni kukumbushana tu.

Sasa uzi wangu nauliza je ikitokea Lowasa akapelekwa mahakama ya mafisadi ina maana Ukawa wenzangu hamtalalamika kwamba anaonewa kwa sababu yupo upinzani?nauliza hivo kwa sababu juzi hapo sheria imefuata mkondo wake kwa Sumaye watu mmelalama kwamba anaonewa kwa kuwa tu yupo upinzani.na pia hivi karibuni imekaliliwa kwamba mahakama ya mafisadi imekosa kesi,watu wanapaza sauti na kupiga mayowe kwamba basi Lowasa sio fisadi ,kwa kuwa hajapelekwa huko.na hata mwaka jana wakati wa uchaguzi mtu wa ukawa yeyote ukimwambia Lowasa ni fisadi basi kinga yake ku ni "mbona hapelekwi mahakamani".hivi leo hii akipelekwa hamtalalamika??

Mi nadhani Magufuri hajaamua kufanya siasa za visasi na ndio maana alisema hafukui makaburi.nina uhakika akishitakiwa Lowasa leo hii.walewale wanaosema kama nifisadi apelekwe mahakamani watalalamika sana na kusema anaonewa kwa sababu tu ni mpinzani...

Xmas njema.
Sasa si haijatokea
 
Tatizo JF imevamiwa na hizi touch na ndo maana porojo kama hizi tunakutana nazo. Achana na makelele mengi mkuu, kamata lowassa pandisha nae mahakamani toa hukumu tufunge mjadala.
Nyumba za serikali,kivuko kibovu na samaki wa mchina wote na lowassa peleka mahakani......hatupendagi ujinga
 
Sote tunajua namna na jinsi viongozi wetu walivyotuaminisha kwamba Lowasa ni fisadi na hadi kwenye list of shame alitajwa pale mwembeyanga.sote watu wa ukawa kijumla tukaimba huo wimbo sana takribani miaka 8...ghafra bin vuu Lowasa akawa mgombea wa uraisi kupitia kwa waliomwita fisadi,eti tumebadili gia angani.

Hadi mzee ninayemheshimu na ntamuheshimu kwenye siasa Dr.slaa akaondoka kwenye chama ,kwa kuwa hakuwa tayari kumpaka mtu rangi,anyway niachane na hayo maana ilikuwa ni kukumbushana tu.

Sasa uzi wangu nauliza je ikitokea Lowasa akapelekwa mahakama ya mafisadi ina maana Ukawa wenzangu hamtalalamika kwamba anaonewa kwa sababu yupo upinzani?nauliza hivo kwa sababu juzi hapo sheria imefuata mkondo wake kwa Sumaye watu mmelalama kwamba anaonewa kwa kuwa tu yupo upinzani.na pia hivi karibuni imekaliliwa kwamba mahakama ya mafisadi imekosa kesi,watu wanapaza sauti na kupiga mayowe kwamba basi Lowasa sio fisadi ,kwa kuwa hajapelekwa huko.na hata mwaka jana wakati wa uchaguzi mtu wa ukawa yeyote ukimwambia Lowasa ni fisadi basi kinga yake ku ni "mbona hapelekwi mahakamani".hivi leo hii akipelekwa hamtalalamika??

Mi nadhani Magufuri hajaamua kufanya siasa za visasi na ndio maana alisema hafukui makaburi.nina uhakika akishitakiwa Lowasa leo hii.walewale wanaosema kama nifisadi apelekwe mahakamani watalalamika sana na kusema anaonewa kwa sababu tu ni mpinzani...

Xmas njema.
Kupelekwa mahakamani si kosa pale ndipo itajulikana mbivu na mbichi. Itajulikana ni kaburi lipi lifukuliwe na mm naomba apelekwe mahakamani ili ndipo ccm na mkurupukaji wao wajionee kilichomtoa nyoka pangoni...Over
 
Tume ilisema imeona ni busara waziri mkuu kujiuzuru ili ainusuru serikali.... Moja kwa moja ni Kikwete ndiye alinusuriwa kumpigia vote of no confidence.
Tume ilimwamuru na sio kumwambia ajipime kama hataki bunge litamjadili. Ainusuru serikali kitu gani? Kumbuka alifukuzwa yeye na genge lake akiwemo karamagi swaiba wake baadaye swaiba wake mwingine rostam aziz akajiuzulu ambaye email address yake ndiyo ilikuwa inatumika km official email address ya Richmond na mhasibu mkuu wake ndiye alikuwa mhasibu wa richmond angalia hiyo connection unamchoaje lowassa kwenye ufisadi wa richmond?
 
Mimi kila siku ninaomba lowasa apelekwe mahkamani ili kama anahatia ahukumiwe kabisa. La sivyo sitapigia CCM kura mpaka nintakufa.
 
Sote tunajua namna na jinsi viongozi wetu walivyotuaminisha kwamba Lowasa ni fisadi na hadi kwenye list of shame alitajwa pale mwembeyanga.sote watu wa ukawa kijumla tukaimba huo wimbo sana takribani miaka 8...ghafra bin vuu Lowasa akawa mgombea wa uraisi kupitia kwa waliomwita fisadi,eti tumebadili gia angani.

Hadi mzee ninayemheshimu na ntamuheshimu kwenye siasa Dr.slaa akaondoka kwenye chama ,kwa kuwa hakuwa tayari kumpaka mtu rangi,anyway niachane na hayo maana ilikuwa ni kukumbushana tu.

Sasa uzi wangu nauliza je ikitokea Lowasa akapelekwa mahakama ya mafisadi ina maana Ukawa wenzangu hamtalalamika kwamba anaonewa kwa sababu yupo upinzani?nauliza hivo kwa sababu juzi hapo sheria imefuata mkondo wake kwa Sumaye watu mmelalama kwamba anaonewa kwa kuwa tu yupo upinzani.na pia hivi karibuni imekaliliwa kwamba mahakama ya mafisadi imekosa kesi,watu wanapaza sauti na kupiga mayowe kwamba basi Lowasa sio fisadi ,kwa kuwa hajapelekwa huko.na hata mwaka jana wakati wa uchaguzi mtu wa ukawa yeyote ukimwambia Lowasa ni fisadi basi kinga yake ku ni "mbona hapelekwi mahakamani".hivi leo hii akipelekwa hamtalalamika??

Mi nadhani Magufuri hajaamua kufanya siasa za visasi na ndio maana alisema hafukui makaburi.nina uhakika akishitakiwa Lowasa leo hii.walewale wanaosema kama nifisadi apelekwe mahakamani watalalamika sana na kusema anaonewa kwa sababu tu ni mpinzani...

Xmas njema.
We mamluki
 
Back
Top Bottom