Kwani hujui kwamba ni fisadi? Au viongozi wetu hukuwa unawasikiliza enzi lowasa hajaja kufuata uraisi kwetu?Kwani lowasa ni fisadi???
Ufia chama ni mbaya sana,na ndio maana Mbowe anafanya atakavyo kwa sababu kuna wanachama vilaza kama weweAcheni umbea, mmepewa serikali ina majeshi yote, mkamateni Lowassa hata leo.
Vinginevyo tujue mnashindwa kwadababu siyo wasafi
Hata kama ni kilaza, hakuna mtu aliye juu ya sheria, kama Lowassa ni fisadi waambie waliokutuma wamkamate. Mnaogopa nini?, acheni kubwabwaja JFUfia chama ni mbaya sana,na ndio maana Mbowe anafanya atakavyo kwa sababu kuna wanachama vilaza kama wewe
Waliotuaminisha kwamba Lowasa ni fisadi ni viongozi wetu wa chadema mkuu na wala sio ccm.sasa basi waje watengue kauri zaoHata kama ni kilaza, hakuna mtu aliye juu ya sheria, kama Lowassa ni fisadi waambie waliokutuma wamkamate. Mnaogopa nini?, acheni kubwabwaja JF