Je, ikitokea Lowassa akapelekwa mahakama ya mafisadi, UKAWA wenzangu hamtalalamika kweli?

Sote tunajua namna na jinsi viongozi wetu walivyotuaminisha kwamba Lowassa ni fisadi na hadi kwenye list of shame alitajwa pale Mwembeyanga sote watu wa UKAWA kijumla tukaimba huo wimbo sana takribani miaka 8 ghafla bin vuu Lowassa akawa mgombea wa urais kupitia kwa waliomwita fisadi, eti tumebadili gia angani.

Hadi mzee ninayemheshimu na nitamuheshimu kwenye siasa Dr. Slaa akaondoka kwenye chama kwa kuwa hakuwa tayari kumpaka mtu rangi, anyway niachane na hayo maana ilikuwa ni kukumbushana tu.

Sasa uzi wangu nauliza je ikitokea Lowassa akapelekwa mahakama ya mafisadi ina maana UKAWA wenzangu hamtalalamika kwamba anaonewa kwa sababu yupo upinzani?

Nauliza hivo kwa sababu juzi hapo sheria imefuata mkondo wake kwa Sumaye watu mmelalama kwamba anaonewa kwa kuwa tu yupo upinzani na pia hivi karibuni imekaliliwa kwamba mahakama ya mafisadi imekosa kesi, watu wanapaza sauti na kupiga mayowe kwamba basi Lowassa sio fisadi kwa kuwa hajapelekwa huko na hata mwaka jana wakati wa uchaguzi mtu wa ukawa yeyote ukimwambia Lowassa ni fisadi basi kinga yake kuu ni "mbona hapelekwi mahakamani" hivi leo hii akipelekwa hamtalalamika?

Mi nadhani Rais Magufuli hajaamua kufanya siasa za visasi na ndio maana alisema hafukui makaburi nina uhakika akishitakiwa Lowassa leo hii walewale wanaosema kama ni fisadi apelekwe mahakamani watalalamika sana na kusema anaonewa kwa sababu tu ni mpinzani.

Christmas njema.

Ikitokea amepelekwa?

Kwani unadhani huwa inatokea tu?

HAIWEZI KUTOKEA kwa sababu JAMAA SIYO FISADI!!

Mafisadi wako huko huko kwenu (ndani ya serikali ya Magufuli) wakiwa wanefunikwa na blanket zito linaloitwa CCM!!

Hata yeye mwenyewe aliyeko humo ndani ya jumba jeupe ndiye hasa FISADI NYANGUMI.......!!
 
Mahakama ya Mafisadi unawahusu wanachama wa fisuem. Lowasa ni msafi na kama baba Jesca alianzisha Mahakama ya Mafisadi Kwa kumtaegent Lowasa basi utaendelea kukosa wateja milile.
 
Mkuu alikataza Kufukua Makaburi wewe husikii kuna Makaburi mengi mengine yana mazombi humo embu anza Kufukua hivi vikaburi vya Nyumba za Serekali na Boti ya bagamoyo Dar
Na kama alikataa kufukua makaburi sijuhi hiyo Mahakama wateja wake ni akina nani
 
Utetezi alioutoa Lowassa Bungeni kujibu hoja za Dk. Harrison Makyembe aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume iliyoundwa kuchunguza kashfa hiyo.
Lowassa aliliambia Bunge hivi, wewe mheshimiwa (Mwakyembe) ni mwanasheria na unafahamu suala la natural justice
kwamba kamati teule imesikiliza watu wengine woooote pamoja na wanaoita minong'ong'o ya mitaani.
Walisafiri mpaka Marekani kutafuta mashahidi lakini mimi (Lowassa) ni mmoja kati ya watuhumiwa lakini hawakunihoji hata siku moja!
"Mheshimiwa speaker,nimesimama kueleza masikitiko yangu.kutoka ofisi ya Bunge mpaka ofisini kwangu, hata wangeniita ningeenda kwa miguu kama hakuna gari;na nilikuwa tayari kufanya hivyo
"Hawa ni watu makini sana na siwezi kuamini kwamba wanaweza wakafanya oversight (kosa la kupitwa na jambo)kama hiyo kwa sababu katika kila hoja walizojenga, walisema Waziri Mkuu ilikuwa hivi na vile....
"Kulikuwa na shida gani ya kuniuliza na kufuata utaratibu wa Westminster (Bunge la Uingereza )kuthibitisha waliposema mwenye Richmond ni fulani ukaweka mezani rekodi na ushahidi kwamba ni fulani?
Kwa hiyo nilichofanyiwa Mheshimiwa Spika, napenda kuweka kumbukumbu sawa kwamba naona si sahihi. Nimefadhaika sana, nimedhalilishwa sana na nimeonewa sana katika hili.
"Zimechukuliwa tuhuma zikaelekezwa hapa (Bungeni)kwamba hivi ndivyo ilivyo lakini mimi sijaulizwa! kwa nini muamini minong'ong'o ya mitaani kuliko maelezo yangu mimi ninayetuhumiwa?
"Mheshimiwa Spika hata uliponinong'oneza kama ninao ushahidi wowote, nilikupa kwa maandishi lakini katika taarifa ya tume hakuna hata moja ya ushahidi uliotoka ofisi ya Waziri Mkuu(kwangu)!
"Ingekuwa ni heshima kama wangeweka ushahidi wangu wa maandishi halafu wakasema wanaukataa kwa sababu hii. ....na hiyo ndio ingejengewa hoja.Lakini kuja hapa Bungeni kuhutubia inchi nzima kuwa Waziri Mkuu anafanya hiki na kile bila kunisikiliza, imenibidi nijiulize :'mtu wa kawaida itakuwaje?'
"Mheshimiwa Spika, nimetafakari sana kwa niaba cha chama changu (ccm )na serikali yangu,na nimeamua kumwandikia Rais barua ya kumwomba niachie ngazi (najiuzulu ). Nafanya hivyo kwa moyo mweupe kuonesha dhana ya uwajibikaji lakini sikubaliani na utaratibu uliotumika kusema uongo wa kunisingizia humu Bungeni"
 
Attachments

  • 1482753210260.png
    1482753210260.png
    350.2 KB · Views: 27
Ishie kwa lowassa mafisadi wote walioangamiza nchi hii ambao wamesababisha jpm kuchukua hatua Kali zinazoumiza wananchi .isiwe kama ishu NHC Na mbowe kana kwamba mdaiwa pekee.au shamba LA sumaye utadhani matatizo Ardhi yataisha kwa huyu.viongozi serikali waliopo ccm pia waloamia upinzani wameangamiza taifa.kama ni sheria iwatafune wote
 
Ikitokea amepelekwa?

Kwani unadhani huwa inatokea tu?

HAIWEZI KUTOKEA kwa sababu JAMAA SIYO FISADI!!

Mafisadi wako huko huko kwenu (ndani ya serikali ya Magufuli) wakiwa wanefunikwa na blanket zito linaloitwa CCM!!

Hata yeye mwenyewe aliyeko humo ndani ya jumba jeupe ndiye hasa FISADI NYANGUMI.......!!
Kwa hiyo ile list of shame ilikuwa ni uongo? Mbowe alikuwa anaongopa kipindi kile?
 
Kwa hiyo "a list of shame" ndiyo msingi wa kisheria kumpeleka kwa court of law?

Well, take him there and you may call huyo unayemwita Mbowe ili akawe shahidi wa "mahakama ya mafisadi" huku akiwa ameshikilia "orodha ya aibu" mkononi mwake!!
 
Sote tunajua namna na jinsi viongozi wetu walivyotuaminisha kwamba Lowassa ni fisadi na hadi kwenye list of shame alitajwa pale Mwembeyanga sote watu wa UKAWA kijumla tukaimba huo wimbo sana takribani miaka 8 ghafla bin vuu Lowassa akawa mgombea wa urais kupitia kwa waliomwita fisadi, eti tumebadili gia angani.

Hadi mzee ninayemheshimu na nitamuheshimu kwenye siasa Dr. Slaa akaondoka kwenye chama kwa kuwa hakuwa tayari kumpaka mtu rangi, anyway niachane na hayo maana ilikuwa ni kukumbushana tu.

Sasa uzi wangu nauliza je ikitokea Lowassa akapelekwa mahakama ya mafisadi ina maana UKAWA wenzangu hamtalalamika kwamba anaonewa kwa sababu yupo upinzani?

Nauliza hivo kwa sababu juzi hapo sheria imefuata mkondo wake kwa Sumaye watu mmelalama kwamba anaonewa kwa kuwa tu yupo upinzani na pia hivi karibuni imekaliliwa kwamba mahakama ya mafisadi imekosa kesi, watu wanapaza sauti na kupiga mayowe kwamba basi Lowassa sio fisadi kwa kuwa hajapelekwa huko na hata mwaka jana wakati wa uchaguzi mtu wa ukawa yeyote ukimwambia Lowassa ni fisadi basi kinga yake kuu ni "mbona hapelekwi mahakamani" hivi leo hii akipelekwa hamtalalamika?

Mi nadhani Rais Magufuli hajaamua kufanya siasa za visasi na ndio maana alisema hafukui makaburi nina uhakika akishitakiwa Lowassa leo hii walewale wanaosema kama ni fisadi apelekwe mahakamani watalalamika sana na kusema anaonewa kwa sababu tu ni mpinzani.

Christmas njema.
Hoja mufilisi kabisa, kwani kumpeleka mahakamani Lowassa ni kulipiza kisasi? Rais alituaminisha kuwa atapambana na mafisadi, mbona hawamkamati Lowassa? Anamwogopa? Kama mtu amethibitika kuwa fisadi akamatwe hata leo, tatizo liko wapi?
 
Mkuu mbona enzi hizo hukusema hivo?
 
Eeeh Mungu twakuomba sala zetu uzipokee kuhusu Baba wa taifa kuwa ni mwenye Heri, kwakua humu ndani kuna watu wanampa Kiki muheshimiwa Lowassa awe ndio mwenye Heri
 
sheria iliyoanzisha hiyo mahakama inahusu tuhuma baada ya sheria kupitishwa na wala siyo kabla ya hapo hivyo kudai ilianzishwa kwa visasi ni ubumbumbu wako wa sheria
Mkuu Mbona ile ya Loan board ya 15% from 8% itawahusu hata sisi wazee wa ZAMANI
 
Mkuu lakini kipindi mnaambiwa na Mbowe kwamba Lowasa ni fisadi haya yote hamkusema.vipi leo? Ipo siku hata Chenge atagombea uraisi kupitia ukawa,kama wanachama ndio mpo hivi?
So whats your Point here Chicker ???
 
Sote tunajua namna na jinsi viongozi wetu walivyotuaminisha kwamba Lowassa ni fisadi na hadi kwenye list of shame alitajwa pale Mwembeyanga sote watu wa UKAWA kijumla tukaimba huo wimbo sana takribani miaka 8 ghafla bin vuu Lowassa akawa mgombea wa urais kupitia kwa waliomwita fisadi, eti tumebadili gia angani.

Hadi mzee ninayemheshimu na nitamuheshimu kwenye siasa Dr. Slaa akaondoka kwenye chama kwa kuwa hakuwa tayari kumpaka mtu rangi, anyway niachane na hayo maana ilikuwa ni kukumbushana tu.

Sasa uzi wangu nauliza je ikitokea Lowassa akapelekwa mahakama ya mafisadi ina maana UKAWA wenzangu hamtalalamika kwamba anaonewa kwa sababu yupo upinzani?

Nauliza hivo kwa sababu juzi hapo sheria imefuata mkondo wake kwa Sumaye watu mmelalama kwamba anaonewa kwa kuwa tu yupo upinzani na pia hivi karibuni imekaliliwa kwamba mahakama ya mafisadi imekosa kesi, watu wanapaza sauti na kupiga mayowe kwamba basi Lowassa sio fisadi kwa kuwa hajapelekwa huko na hata mwaka jana wakati wa uchaguzi mtu wa ukawa yeyote ukimwambia Lowassa ni fisadi basi kinga yake kuu ni "mbona hapelekwi mahakamani" hivi leo hii akipelekwa hamtalalamika?

Mi nadhani Rais Magufuli hajaamua kufanya siasa za visasi na ndio maana alisema hafukui makaburi nina uhakika akishitakiwa Lowassa leo hii walewale wanaosema kama ni fisadi apelekwe mahakamani watalalamika sana na kusema anaonewa kwa sababu tu ni mpinzani.

Christmas njema.
Sasa si wampeleke??
 
Hakuna wakumpeleka coz alisema kama ww hauna dhambi uwe wakwanza kutupa jiwe watu wakatawanyika je nan wakumvika paka kengele
 
Mouth
Hatutalalamika iwapo tu haki itakuwa imetendeka kama ifuatavyo:
Kwamba Mafisadi wote wa CCM kina Kikwete, Mkapa na JPM( Nyumba za Serikali na Kivuko cha Bagamoyo),ESCROW, EPA,MEREMETA,DEEP GREEN wote watakuwa wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Mafisadi!!!!
Haitawezekana maana Mkuu alishasema atawalinda!
 
Back
Top Bottom