Unaona sifa kutokulala , inashauriwa kupumzisha fuvu masaa yasiopungua 8, mimi ikifika saa 4 usiku macho yanafunga kabisa๐Ÿ˜€
Uli sema watu Waki oana dozi ni kila saa, kwa style hii SI uta fukuzwa mapema๐Ÿ˜€๐Ÿคฃ.

kingine Bora Sasa hivi, udogoni hata lile wazo la kulala, nilikuwa Sina.
So nili Soma vitabu na kuangalia movie kwa speed nzito ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom