Hahahahaha..basi mie ni mtu mmoja wa kufuata kanuni na sheria tena usije kujaribu kupindisha kitu kwangu hutoamini....haya matumizi ni petty cash vichenji vya jana usiku ...situmii nje ya bajeti
Hapo safi, mi naamini uki weza kuji tathimini wewe Kama wewe, basi ita kupa muongozo nzuri wa kutathimini vitu vingine.

Japo sio wote wanao weza Hilo, Kuna Jamaa ni mzuri wa kutathimini vingine, ila sio yeye . Hahaha.

Na Kuna mwingine mzuri wa kutathimini vyote, au kuji tathimini yeye tu.
 
Hahahahaha Mkuu mimi nisome tu ila ili ule hela yangu kama ni mshikaji basi uwe na akili sana na uwe una mambo mengi kichwani na kama ni binti dah inabidi awe mpole mno ..maana kama sina bajeti yako ujue hupati kitu hata kama nina 1m mfukoni
 
Iko hivyo mkuu so kuna muda watu wananiona mbahili sana..na kuna muda watu wanaona natumia hela vibaya , kumbe hawajui yote hayo yako ktkt bajeti na mipango
Kuhusu kuitwa mbahili nime itwa Sana, ilaa hao hao wanao niita hivyo wana appreciate sheria zangu.

Sometimes tuna furahi Kama watafutaji, Muda mwingine ni ngumu kumeza mpaka mtu ana sema SI utoe kioo.

sometimes tuna sapotiana kwenye harakati, hili ndo napenda zaidi.
Kwani misosi IPO tu, ila harakati ndo Zina tupa ugali.
 
Ewaa umesema vzr
 
Miaka 5 mfululizo nilikua nafanya mazoezi ya ushindani kutafuta nafasi ya first eleven bila kupumzika ..kwa sasa nashtua tu misuli
Hongera Mkuu

Mazoezi ni muhimu sana kujenga afya zetu pamoja na kuimarisha afya za nyumba

Wanawake wetu wamekuwa wakilalamika kutokana na Sisi Wanaume kushindwa kuwapa "dozi" stahili hadi kuishia kununua madildo ili kusolve mahitaji yao ya kimwili πŸ™Œ
 
Niko kiduka cha mangi na zimua , kuna mdada kaja kavaa dela tu ndani hakuna kitu..dah kaamsha mashetani yote
Namjua aliyekufanyia haya manyanyaso namjua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£

πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
Odo so vizuri ulivyomfanyie yule kaka pale kwa Mangi. ok tell me Ulimuachaje na zile ultimatum now or neverπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Namjua aliyekufanyia haya manyanyaso namjua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£

Odo so vizuri ulivyomfanyie yule kaka pale kwa Mangi. ok tell me Ulimuachaje na zile ultimatum now or neverπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
Hahahahaha nani huyo alinifanyia vile .mwambie sio vzr
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom