Na hilo eneo la king'azi lote kwa kweli ni la milima sana na milima hiyo imedhibitiwa zaid na mawe kama kuna uharibifu wa namna yoyote wa kuondoa ubora wa milima hiyo serikali iingilie kati haswa maana kule nyumba nyingi zimejengwa kwenye milima kutokea kati ya vilima mpaka kwenye vilele vyake.
Wakiacha jamaa waendelea kupasua mawe huko pataanza kua kama maeneo ya chini ya lile tunguli la hali ya hewa kutaanza kumogoka kila mvua inapo nyesha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.