Now wanakulipa kama degree holder siyo?Niliajiriwa 2012 nikiwana diploma
#YNWA
#YANGA_BINGWA

Kwa kuwa mtaani kuna machokoraa wanalala mitaroni, hawakufanyi wewe ulale nje.Ulichopewa ndiyo stahiki yako, toshekeni na mishahara yenu
Kuna mtu yupo kitaa saivi akiambiwa aajiriwe kwa nusu ya unachodai atakubali, jifunze KURIDHIKA
Yanga BingwaNow wanakulipa kama degree holder siyo?
Yote maisha.Watu wa serikalini hua tunawaona watu wa njaa njaa tu
Ndiyo maana ya local lazima maisha yawe ya ki localHawa wawili, wamesoma course moja, chuo kimoja, wakaajiriwa na serikali moja ila tu kwasababu ya huyu yupo taasisi na huyu yupo "Local government" basi huyu ana shavu zaidi ya huyu..!!
Anasomewa na MsigwaNgoja niiitafute ID ya mama ni mtag aje kula madini ya wana jf
Oa weweeeSalaam ndugu Wana JF,
Naambiwa "Mama" yetu Rais wetu huwa anasoma humu JF.
Kwa heshima na taadhima naomba asome na hii.
Twende kwenye hoja..
Leo hii Kuna jamaa yangu kutoka halmashauri ya jirani kapata uhamisho kutoka halmashuri yake kwenda chuo cha Mandela (Arusha) yaani kwa huo mshahara anaoendea mpaka nimeshangaa.
Huyu jamaa basic analipwa TGS D = 745k ukitoa makota inayoingia mfukoni ni 500k and something.
Ila sasa huko aendako atakuwa analipwa basic 1.8Mil.
Hili limenifanya nijiulize ""KWANINI HALMASHAURI WANALIPWA KIDOGO KULIKO WATU WOTE SERIKALINI?""
Sometimes naonaga kama kufanya Kazi serikalini ukiwa chini ya TAMISEMI kama ni "laana/Majanga" maana kwenye mshahara huku ni dah "Ashukuriwe Mungu"
Hivi jiulize...
Tax Officer TRA Kazi yake ni kukusanya kodi, ada na tozo na Afisa mapato Halmashauri kazi yake nae ni kukusanya kodi na ushuru. Mbona sasa huyu Tax Officer (accounts) analipwa zaidi ya Afisa mapato wa Halmashauri (accounts)?
Hawa wawili, wamesoma course moja, chuo kimoja, wakaajiriwa na serikali moja ila tu kwasababu ya huyu yupo taasisi na huyu yupo "Local government" basi huyu ana shavu zaidi ya huyu..!!
Why this, ikiwa wote wapo chini ya serikali moja?
Mishahara ya halmashauri inachekesha hasaa.
Ukiachana na afya ambao kidogo wao "alhamdulilahi ila"
1. Ukisoma diploma mshahara ni TGS C = 500k take home 400k
2. Ukisoma Bachelor ya miaka 3
TGS D = 700K take home 500k
3. Ukisoma Bachelor ya miaka mi4 ni TGS E = 900K take home 700k
(Mishahara hii nime approximate kwa kukaribisha zeros at the end)
Na kengine huku Halmashauri hizi masters na short course hazina hata maana ki-mshahara zaidi ya kwamba ni "Added advantage" ila sio ki-financial aspect HAKUNA LOLOTEE. Unakuta wewe una masters na mwenzio bachelor ila mshahara mnafanana.
Huwa nawaambia madogo ""Njoo halmashauri tafuta cheki namba halafu sepa huko kwenye mishahara minono"". Kwani nani asiyependa kufanya Kazi kwenye mshahara mkubwa?
Haiwezekani uliosoma nao wote mpo serikalini ila wao wana mishahara na maposho zaidi yako kisa wewe upo local government!
Kwa upande mwingine. Ukiangalia bungeni wanatupa sana lawama kwa Halmashauri huku wanasahau kuwa watumishi wao bungeni wana mishahara mikubwa kuliko wa halmashauri.
Yaani halmashauri inasemwa sana juu ya wizi ila HAKUNA MTU YEYOTE ANAYEONGEA KUHUSU UDOGO WA MISHAHARA YA HALMASHAURI.
Sijawahi hata siku moja kusikia taasisi yoyote nchini ikiongelea maslahi ya watumishi wa Halmashauri zaidi ya kuwalaumu.
KUHUSU POSHO.
Watu wanakwambia "Halmashauri wanajilipa posho sana"
Wanasahau kuwa, posho ni mapato ya ndani "own source" na kuna Halmashauri hayo mapato ya ndani HAKUNA.
Hivi halmashauri kama Ukerewe, Tanganyika, Momba, Mpimbwe, Ileje WANAJILIPA MAPOSHO kwa mapato gani?
Ikiwa tu makusanyo yao hat Bil 2 kwa mwaka hakuna (maana vyanzo vya kukusanyia hakuna).
Sasa Hawa hizo posho wanapata wapi?
MAMA HALI NI MBAYA.
Watumishi wa Halmashauri Wana hali mbaya. Achana na hizi Halmashauri za mjini, ila hizi Halmashauri za vijijni watu Wana hali mbaya na ""Asilimia 90 ya watumishi wanapigana na kuhangaika ili wahame"" maana hakuna anayekubali mshahara mdogo huku kwenye mkubwa panaonekana.
Imefika wakati hii mishahara ya Halmashauri iangaliwe. Inakuaje mtu mwenye bachelor yake ya uhasibu kaajiriwa tokea 2015 mpaka leo mshahara ni 745,000/= yaani ukitoa kodi kinachobaki ndio aendeshee maisha.
Walimu nao wanateseka.
Hizo TGTS C, D, E, F ukizisoma utadhani ni pesa nyingi.
Sasa ngoja uandikiwe ni kiasi gani UTABAKI KUSHANGAA.
Unakuta mwalimu kasoma na mwenzake Bach. Ed
Huyu kawa mwalimu wa sekondary huyu kaajiriwa assistant tutor.
Sasa ukitaka kuona ""maajabu cheki mishahara yao""
Tutor ana mshahara kuliko mwalimu. Bila kusahau Tutor anaposho za vipindi na vitu vyengine ila yeye mwalimu kwanini asiwe na posho za vipindi?
Kuna Watu wapo taasisi huko WANALIPWA mishahara mara tatu ya halmashauri.
Madereva katika fani nayoonea huruma ni walimu na madereva.
Kwani Kuna utofauti gani wa dereva wa BOT, Wizara na Halmashauri?
Hivi V8/gari si ileile na gia si zilezile na lami si ileile, KWANINI Dereva wa Halmashauri ana TGS B na wengine WANALIPWA mara mbili yake? Au magari yao wao yanapaa na ya halmashauri yanatembea kwenye lami?
HII SI AFYA KABISA.
Nina mengi ya kuongea NAOMBA NIISHIE HAPO.
Mama Niko chini ya miguu yako NAOMBA HILI LITAZAMWE.
Mishahara ya Halmashauri ni nomaaa Raisi wangu.
Asante.
#YNWA
Na mshahara huu?Oa weweee
Nimefanya kazi kwaJe ukienda kwa Muhindi si utakimbia siku hiyo hiyo?
Mkuu ni fact bila chenga Halafu hizi halmashauri za pembezoni yaani mpaka huduma za kijamii nazo ziko hovyo mno halafu bila kusahau ndio tunapambana huku kuuaminisha umma kuwa tupo katika mikono salama Mama tafadhali fanya jambo tunadhalilikaSalaam ndugu Wana JF,

Kama unamaanisha mshahara pekee ni hivi, Mamlaka za Serikali za Mitaa na Serikali kuu wanafanana mshahara. Labda iwe fursa nyingine tofauti na hapo. Isipokuwa Serikali Kuu baadhi ya Taasisi ndani ya Serikali Kuu zina mshahara juu kuzidi local government na Serikali kuu kwa maana ya Wizara na Tawala za Mikoa kama vile Wakala (Agencies), Tume (Commissions), Mamlaka (Authorities)Salaam ndugu Wana JF,

Ukiomba kusoma PhD inajulikana ni miaka mitatu, sasa wanatoaje miezi 18 kama ulivyoelezea Kwenye Uzi mmoja.Yanga Bingwa
Liverpool is on Top
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ukiona mtu kaanzia diploma jua tu huyo alikua kilaza.ila hongera pia kwa kutokata tamaa.1. Diploma in Finance
2. Bachelor of Science in Economics and Finance
3. Masters of Science in Finance and Investment.
4. Ilikuwa niwe PhD Candidate in International Economics, ila nilighairii
Kwa hii qualification Unadhani mimi ni mwalimu?
#YNWA
#YANGA_BINGWA