tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 23,745
- 21,931
Mkuu umena ukweli tupu. Mtu akishakuwa serikalini anakuwa kama mbwa wa kufugwa; hana pa kuchomokea.Wakati huo huku Chunya kuna vijana wapo kwenye michakato ya madini hawajaenda shule na hiyo 1,800,000 unayo ona ni kubwa watu wanaweza kuitengeneza hata mara 5 kwa mwezi. Watu wa serikalini hua tunawaona watu wa njaa njaa tu